Watanganyika waendelea kukomeshwa, sasa hakuna cha bure

Watanganyika waendelea kukomeshwa, sasa hakuna cha bure

Gari kuingia Nchini kodi ni kubwa balaa harafu mnataka kuja na Tozo mpya huko nitatoka na wazala road potelea mbali..
 
Wazo zuri laki pia ukubwa wa Bunge na mabalaza ya madiwani yapunguzwe
Hao wabunge wa kujiteua ni pimbi kweli wao huwa wanalipwa na kula vinono
wao walipia hizo road na madaraja?au wapo nchi gani?

Nchi ni ya kingese sana hiyo.
 

Kwani Riad Funds, inayokatwa kwenye mafuta sio kodi? Ana maana gani anaposema anaanzisha kodi nyingine?Hela ya road funds inatumikaje?

Hakuna serikali inayoweza ku survive bila kuwa na nidhamu. Hela za kodi zinaenda wapi? Wezi wa hela za umma wanawajibishwaje? au ndio haya maghorofa yanayoibuka kama uyoga mjini
 
Kuna leseni Latra wanatoa kila mwaka na hii tena kweli?
Kuna ongezeko la kipato miongoni mwa waTanganyika wenzangu?
 
Back
Top Bottom