Kwani Riad Funds, inayokatwa kwenye mafuta sio kodi? Ana maana gani anaposema anaanzisha kodi nyingine?Hela ya road funds inatumikaje?
Hakuna serikali inayoweza ku survive bila kuwa na nidhamu. Hela za kodi zinaenda wapi? Wezi wa hela za umma wanawajibishwaje? au ndio haya maghorofa yanayoibuka kama uyoga mjini