Watanganyika wanapenda majungu na udaku. CCM wanetoa notice wao wamefurahi wakidanganyana mambo ambayo hayako kabisa

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Maelfu ya wajumbe walimpitisha Samia na maisha yakaendelea.
Kangedere kamoja ambako hakana impact yoyote kwa chama kametoa press jana sijui juzi Leo CCM wametoa notice watanganyika kwakuwa wana utindio mdogo wa ubongo wanazusha mambo ya hovyo.
Mimi si mpenzi wa CCM lakini uzushi na majungu siyapendi.
Kwa ujinga huu uliopo miongoni mwa watanganyika CCM wanapata mwanya wa kutawala na kukwapua rasilimali za nchi kila siku.
Imagine Mtanganyika anataka nchi yake iwe huru kwa kukomenti Facebook na X #NOREFORMS #NOELECTION
hata Mimi ningekuwa kiongozi ndo nianchie dola kwa kelele za Facebook. Hapana
 
cha muhimu watu wachangie tone tone
 
tunataka mabadiliko ya kimiujiza mkuu --- huu ni utapeli uliokuwa wa wazi
 
Mashujaa wa Twitter tupo tutakublock.

Alafu tunahitaji kura yako🤣🤣
 
Hata utetee vp! Mbingu zimeshaamua na hakuna wa kubadilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…