Vyovyote itakavyokuwa kuhusiana na Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni lazima Jamhuri ya Tanganyika iwe na serikali yake inayojitegemea na kamili.
Kwa siku za karibuni, Mkuu wa Dola amejidhihirisha kuwa adui namba moja na tishio kwa usalama na uhai wa Jamhuri ya Tanganyika kuliko hata alivyo kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ukiachana na matendo yake, pia kauli zake tata na hatarishi zimethibitisha hilo. Licha ya kuwepo kwa vyombo vya ulinzi na usalama, wameshindwa kuzuia tishio hilo dhidi ya Jamhuri ya Tanganyika inayounda asilimia 99% ya Muungano huu.
Ni wakati sasa Jamhuri ya Tanganyika irudi tena.