Tetesi: Watangaza nia 2020 waanza kupiga jaramba CCM

Tetesi: Watangaza nia 2020 waanza kupiga jaramba CCM

Je una maana hizi tetesi siyo kweli?
Sasa mbona rais analalamika sana kuwa kazi tuliyompa ni ngumu sana!!!

Mara aseme alichukua form peke yake!!! Mara ajute kuchukua form!!!!

Wewe unamuelewaje hebu tufafanulie tafadhali.
Muda utaongea hatuna haja ya kuumiza ubongo kufikiri visivyofikirika
 
Kwetu kijana mmoja aliamua kuwapima wazazi wake ajue ni nani anayempenda zaidi. Si akajitangaza mwenyewe kuwa kafa na mipango inafanywa kumtoa darisalama kuletwa home?? Dah! Mama kazimia mara 3.

Baba kachanganyikiwa kabisa. Siku ya 4 jamaa likaingizana nyumbani. Kufika, baba kumbe kapatwa stroke na mama kaharibikiwa kabisa.

Hayo ni matokeo ya kipimo kibovu cha kutaka kujua akupendaye.

Ngoja majitu yajipitishe pitishe mikoani kabla ya wakati, ayafyekee mbali. Mtindo ule wa uchujaji nadhani mwaka huo 2020 hautafanyikia Chimwaga bali magogoni.
 
Magufuli anawachora kimya atamvutia waya Mwigulu atamtupa baharini kwa ishu ya Ikwiriri..... Makamba atamwamisha ofisi na kumpangia kazi nyingine ya kuwa balozi wa kudumu wa Iraq.....
Duuh balozi wa kudumu Iraq!
 
Ha ha ha!!
Awamu hii huko ufipa mtakuona kuchungu!!
Come 2020 tujionee anguko la wapenda kuzungusha mikono
 
Naendelea kukwambia hizo ni ramli tu
Atagombea kwa kigezo kipi wakati ameshasema kuwa hii kazi haiwezi na anajuta!!!
Kucha Kutwa "niombeeni"
Ameona sisi hatuhitaji kuwaombea wanetu anaowaita vilaza!!!!?
 
Ukitafuta waliotufikisha hapa kwa majina utakuwa unapoteza muda bure.....maana ccm wanashirikiana kupitisha uchafu wote tena kwa kuitwa na kupigwa beat na mwenyekiti kwa mtu atakayepinga miswada bungeni.

Hii mimbwa ikiishaitwa na mwenyekiti kazi inayobaki nimiwachokoza wapinzani wenye akili nyingi kwa kutumia uwingi wao (wengi wape hata km ni wapumbavu na mabashite km ccm? Hapa wahenga sikubaliani nao katu....)

Tena haya malafi makubwa ccm yanapitisha haya mambo huku yakitukana watz matusi ya nguoni na kwa kejeri na dharau huu huku hii mafisadi ikipiga tu makofi....

Watz hawaitaki lkn inalazimisha kukaamadarakani kwa mabavu kwa goli la mkono bara na kwa kupora ushindi wa wazi visiwani
Shame I you ccm
 
Atagombea kwa kigezo kipi wakati ameshasema kuwa hii kazi haiwezi na anajuta!!!
Kucha Kutwa "niombeeni"
Ameona sisi hatuhitaji kuwaombea wanetu anaowaita vilaza!!!!?
magufuli ni mchumia tumbo km walivoccm wote....ameshindwa na ama amedanganya kila alichowahi kusimamia
1. Samaki wa magufuli alishindwa na kuliinhizia taifa hasara kubwa
2. Lugumi hiyo yeye yumo na imemshinda hawezi kujichukulia hatua
3. Kivuko kibovu alileta yeye wala hajajikamata na kujishitaki
4. BASHITE tu amemshinda sembuse Marais waliopita ambao alishasalimu amri hadi kuteua mke wa rais kuwa mbunge
5. Hajaweka mezani mkataba wa chatointernational airport???!!
6. Yeye binafsi hajaweka wazi mkataba wa bormberdier watz wanajua dili alizofanya yeye binafsi....
7. Hajaonesha hata nukta ya uzalendo kwa yale ambayo yeye binafsi ameshinikiza na kupazimishwa yafanyike.
8. Watz mtachezeshwa sn shere na ccm hukumnawalaumu wazungu na wachina kwa kiwaibia wkt wezi wenu ni ccmmnaowachekea
 
Kwani si katiba ya chama wameibadiri juzi na kuna kipengele cha mgombea kupeperusha bendera ya chama kwa kiti cha uraisi kwa 10 years au mimi ndio nilipitwa na updates
 
Cc. Polepole kwa taarifa na ufuatiliaji.
 
Kwani si katiba ya chama wameibadiri juzi na kuna kipengele cha mgombea kupeperusha bendera ya chama kwa kiti cha uraisi kwa 10 years au mimi ndio nilipitwa na updates
Ndio hivyo kabisaaaaaa!
Lakini magufuli anaonyesha keshachoka kumzidi sungura aliyekuwa anarukia matunda (kachoka hata mkia {sungura})
 
Ha ha ha!!
Awamu hii huko ufipa mtakuona kuchungu!!
Come 2020 tujionee anguko la wapenda kuzungusha mikono
Wasira alipenda sana kutamka hizi kauli unazozirudia leo.
Nasikitika kukwambia kuwa wasira hata uteuzi wa ukuu wa kitongoji imeonekana hafai.
Sina uhakika kipato chake kinatokana na utalii wa GOMBE au kuna utalii wa ndani kuangalia mnyama kapiga suti na staili yake adimu ya kufunga vishikizo.
 
Kufuatia kauli ya mwenyekiti wa CCM ambaye pia ndiye rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. John Joseph Pombe Magufuli kuwa kazi ya urais ni ngumu sana kiasi kwamba anajuta kwanini aliiomba, na kuongeza anatamani kazi hiyo iishe hata kesho!!!!

Ni dhahiri kuwa Mungu akituweka hai Magufuli hatagombea tena urais 2020.

Ukweli huu umesababisha wanaccm kuanza kupigana vikumbo katika jitihada za kung'arisha nyota zao.

Mwigulu Nchemba anaonekana kulianzisha mapemaa na marufuku ya kusafiri nje kwa wale waliotajwa kwenye ripoti ya pili ya makinikia.

Lukuvi kaanza kitambo kidogo hadi kufikia kuzuia ujenzi kwenye maeneo ambayo hayajapimwa, achilia mbali kunyang'anya ardhi kwenye manispaa zilizo chini ya vyama vya upinzani.

January bado anajiandaa atokeje, ingawa kampeni meneja wake (fina mango) amemchomeka pale Gymkhana club kuwa makamu wa mwenyekiti ili kutafuta uungwaji mkono kwa vingunge na vibopa wa chama.

Nimejaribu kumtafuta VUTA-NKUVUTE nijue msimamo wake juu ya tetesi hii nimeambulia patupu.

KAMA NI KKWELI TUNAWATAKIA KILA KHERI WAMACCM KATIKA MTIFUANO HUO.
Mkuu,nakuthibitishia kuwa jaramba imeshaanza. Nitayaleta mengi muda si mrefu

Mzee Tupatupa
 
Mkuu,nakuthibitishia kuwa jaramba imeshaanza. Nitayaleta mengi muda si mrefu

Mzee Tupatupa
Asante mkuu kwa kuthibitisha hili jambo.
Karibu utupe kwa undani zaidi toka kilingeni.
 
Back
Top Bottom