Muda utaongea hatuna haja ya kuumiza ubongo kufikiri visivyofikirikaJe una maana hizi tetesi siyo kweli?
Sasa mbona rais analalamika sana kuwa kazi tuliyompa ni ngumu sana!!!
Mara aseme alichukua form peke yake!!! Mara ajute kuchukua form!!!!
Wewe unamuelewaje hebu tufafanulie tafadhali.
Duuh balozi wa kudumu Iraq!Magufuli anawachora kimya atamvutia waya Mwigulu atamtupa baharini kwa ishu ya Ikwiriri..... Makamba atamwamisha ofisi na kumpangia kazi nyingine ya kuwa balozi wa kudumu wa Iraq.....
magufuli ni mchumia tumbo km walivoccm wote....ameshindwa na ama amedanganya kila alichowahi kusimamiaAtagombea kwa kigezo kipi wakati ameshasema kuwa hii kazi haiwezi na anajuta!!!
Kucha Kutwa "niombeeni"
Ameona sisi hatuhitaji kuwaombea wanetu anaowaita vilaza!!!!?
Cc. Polepole kwa taarifa na ufuatiliaji.magufuli ni mchumia tumbo km walivoccm wote....ameshindwa na ama amedanganya kila alichowahi kusimamia
1. Samaki wa magufuli alishindwa na kuliinhizia taifa hasara kubwa
2. Lugumi hiyo yeye yumo na imemshinda hawezi kujichukulia hatua
3. Kivuko kibovu alileta yeye wala hajajikamata na kujishitaki
4. BASHITE tu amemshinda sembuse Marais waliopita ambao alishasalimu amri hadi kuteua mke wa rais kuwa mbunge
5. Hajaweka mezani mkataba wa chatointernational airport???!!
6. Yeye binafsi hajaweka wazi mkataba wa bormberdier watz wanajua dili alizofanya yeye binafsi....
7. Hajaonesha hata nukta ya uzalendo kwa yale ambayo yeye binafsi ameshinikiza na kupazimishwa yafanyike.
8. Watz mtachezeshwa sn shere na ccm hukumnawalaumu wazungu na wachina kwa kiwaibia wkt wezi wenu ni ccmmnaowachekea
Ndio hivyo kabisaaaaaa!Kwani si katiba ya chama wameibadiri juzi na kuna kipengele cha mgombea kupeperusha bendera ya chama kwa kiti cha uraisi kwa 10 years au mimi ndio nilipitwa na updates
Wasira alipenda sana kutamka hizi kauli unazozirudia leo.Ha ha ha!!
Awamu hii huko ufipa mtakuona kuchungu!!
Come 2020 tujionee anguko la wapenda kuzungusha mikono
Mkuu,nakuthibitishia kuwa jaramba imeshaanza. Nitayaleta mengi muda si mrefuKufuatia kauli ya mwenyekiti wa CCM ambaye pia ndiye rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. John Joseph Pombe Magufuli kuwa kazi ya urais ni ngumu sana kiasi kwamba anajuta kwanini aliiomba, na kuongeza anatamani kazi hiyo iishe hata kesho!!!!
Ni dhahiri kuwa Mungu akituweka hai Magufuli hatagombea tena urais 2020.
Ukweli huu umesababisha wanaccm kuanza kupigana vikumbo katika jitihada za kung'arisha nyota zao.
Mwigulu Nchemba anaonekana kulianzisha mapemaa na marufuku ya kusafiri nje kwa wale waliotajwa kwenye ripoti ya pili ya makinikia.
Lukuvi kaanza kitambo kidogo hadi kufikia kuzuia ujenzi kwenye maeneo ambayo hayajapimwa, achilia mbali kunyang'anya ardhi kwenye manispaa zilizo chini ya vyama vya upinzani.
January bado anajiandaa atokeje, ingawa kampeni meneja wake (fina mango) amemchomeka pale Gymkhana club kuwa makamu wa mwenyekiti ili kutafuta uungwaji mkono kwa vingunge na vibopa wa chama.
Nimejaribu kumtafuta VUTA-NKUVUTE nijue msimamo wake juu ya tetesi hii nimeambulia patupu.
KAMA NI KKWELI TUNAWATAKIA KILA KHERI WAMACCM KATIKA MTIFUANO HUO.