Lomunyaki Leteiva
Member
- Mar 7, 2014
- 47
- 6
Ni muda mrefu sijawasikia watangazaji maarufu wa michezo wa Radio one. Kama ni likizo haishi tu au mmesajiliwa china kama mlivyokuwa mkijinanga Radioni? BI Joyce tunaomba watangazaji hawa warudi hewani. Bwana Mengi tupe raha wapenzi wa Radio one.
Hata kama wapo masomoni watangaze huko huko kama clouds FM wana vyomtumia mtangazi wao wa njia panda akiwa masomoni. Aliye na taarifa wapi walipo ni vyema akanijuza kwa namba hii 0712310386. Au kama wao watapita humu nisalimieni nimewamis sana.