naamini azamtv na supersport kuna kamvutano wa kibiashara hilo lipo duniani lakini watangazaji wa supersport hatuwasikiki waikejeri azamfc lakini wa azmtv ingekuwa hivyo ungesikia fedhuri zao hasa kuna mtu mmoja anaitwa twalibu muwa jirekibisheni

Nadhani hata na wewe uelewa wako mdogo na ndio maana hujamuelewa.
Nakubaliana na wewe mtoa post, hawa watangazaji wa azam tv hasa hawa wanaotangaza matangazo ya mpira yaani wanakera sana. Badala ya kutangaza mpira wao hugeuka kuwa wakosoaji wa timu hasa hizi simba na yanga, huku wakiisifu azam fc tena kwa kuipa sifa ambazo hata tp mazembe hawana, lakini hawa makanjanja kwa mahaba yao huzitoa kwa azam fc.
Ahmadi Hassan Mvula pekee pale azam tv ndo anaejua kutangaza mpira wengine wanalazimisha tu.