Watangazaji mpira wa azamtv muige wa supersport

Watangazaji mpira wa azamtv muige wa supersport

mansoorsaid

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2014
Posts
1,498
Reaction score
286
naamini azamtv na supersport kuna kamvutano wa kibiashara hilo lipo duniani lakini watangazaji wa supersport hatuwasikiki waikejeri azamfc lakini wa azmtv ingekuwa hivyo ungesikia fedhuri zao hasa kuna mtu mmoja anaitwa twalibu muwa jirekibisheni
 
Binafsi SIJAKUELEWA, sijui sababu ndo naamka au!! Naona ka na wewe umeandika wakati bado una usingizi!
 
Binafsi SIJAKUELEWA, sijui sababu ndo naamka au!! Naona ka na wewe umeandika wakati bado una usingizi!
Nadhani hata na wewe uelewa wako mdogo na ndio maana hujamuelewa.

Nakubaliana na wewe mtoa post, hawa watangazaji wa azam tv hasa hawa wanaotangaza matangazo ya mpira yaani wanakera sana. Badala ya kutangaza mpira wao hugeuka kuwa wakosoaji wa timu hasa hizi simba na yanga, huku wakiisifu azam fc tena kwa kuipa sifa ambazo hata tp mazembe hawana, lakini hawa makanjanja kwa mahaba yao huzitoa kwa azam fc.
Ahmadi Hassan Mvula pekee pale azam tv ndo anaejua kutangaza mpira wengine wanalazimisha tu.
 
Back
Top Bottom