Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
- Thread starter
- #21
[emoji16][emoji16][emoji16] ss boss wa azam fc anatakiw awek mzigo mezan wasajili team iwe na upinzan mkubwa... mashabk wa team nyngn wakimbilie azam fc
Haiwezekani...Kuna SHABIKI wa zamani wa yanga anaitwa nani sjui???alilia sana kipindi yanga kala tano bila dhidi ya simba yule jamaa aliamua kwa hasira kuwa shabiki wa azam mpaka leo..ila najua ndani ya moyo wake bado anatamani sana kurudi yanga hasa sahizi ambapo yanga wanafanya vizuri ila ndo hvyo hawezi coz alipata kazi huko chamanzi complex