Watangazaji ninaowazimia(penda)

1)oumirkher hamidou wa DW
2)Rehema mwakangale r.i.p

Even a black folk hate to see another nigga made it..
 
Marion Elias wa ITv ya miaka ya tisini kadhaa kipindi cha mapishi alikuwa ananidindisha kabla ya umri wangu,she was so hot that mama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Always the best presenter and Dj ....John Dilinga Matlou ...

 
Jabir Saleh- E fm
BDozen - Clouds
Sam Kiyama a.k.a Uncle Sam
Larry King
Esha Sesay
 
Ally Salehe ni Mbunge siku hizi ameacha kutangaza
Wako ally saleh wawili
Huyu unaesema ni Ally Saleh Alberto alikuwa reporter zanzibar wa bbc dira ya dunia ambaye sasa ni mbunge wa malindi zanzibar- cuf

Mimi ninaemsemea ni Ally salehe mwingine yeye alikuwa bbc london yeye amestaafu na sasa yupo azam media

sent from iPhone 7+ using jamii forums mobile app
 


Hapo nimekusoma mkuu. Ni kweli huyu unayemsema amestaafu
 
□Yupo wapi DJ H.A.B.I.B wa East Africa Radio na 101.4 FM miaka hiyo late 90's?

□Rose Chitara yupo wapi?

□Stivie Kabuye Super Traxx yupo wapi?

□DJ JD

□Abubakar Sadiq kwa Fujo Jamaa anajua ngoma especially hip-hop and r&b old xul hits.

[emoji115]Hao ndio naowakubali.
 
Niliwahi kuvutiwa na waliowahi kuwa watangazaji wa BBC ambao kwa sasa wamestaafu japo wengine bado wapo, kwa kuwataja ni 1.Ally Salehe enzi za 2001 BBC London
2.Idd Seif BBC London miaka hiyo
3. Solomon Mugera BBC London wakati huu.
4.Alex Murithi mpaka sasa bado yupo BBC.
Hao jamaa wana sauti nzito na ya Kuvutia wakati wa kutangaza,
Kwa Bongo niliwahi kuvutiwa na Juma Nkamia, Sued Mwinyi, Jesse John, Abubakari liongo.
Kwa sasa hivi kuna ripota wa ITV Kampala.
Kwa Kenya navutiwa na Moha, John Allan Ami na Dennis Akarri
 
Kuna Mwanamke wa idhaa ya kiswahil sauti ya Amerika ananikosha hatar,huwa anatangaza mida ya jion na ni wa muda mrefu atakuwa ni Mtu mzima kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…