Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...huyu mtoto ana sauti nzuri kinyama,huyu hapa Hanifa Roy![]()
![]()
Sent from my iDevice using Tapatalk
Wako ally saleh wawiliAlly Salehe ni Mbunge siku hizi ameacha kutangaza
Salehe mwanamilongo kutoka Goma
Wako ally saleh wawili
Huyu unaesema ni Ally Saleh Alberto alikuwa reporter zanzibar wa bbc dira ya dunia ambaye sasa ni mbunge wa malindi zanzibar- cuf
Mimi ninaemsemea ni Ally salehe mwingine yeye alikuwa bbc london yeye amestaafu na sasa yupo azam media
sent from iPhone 7+ using jamii forums mobile app
Katika tasnia ya habri hasa watangazaji ambao sauti zao zinanipa shauku ya kuendelea kuwasikilza wakiwa wanatangaza ni hawa
1.Mabere Makubi ITV
2.Chase Hillary Azam TV
Tupia na wa kwako ambao sauti zao zinakuburudisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha yake?VIDA ROY WA MAGIC FM