Mm namkubali sana yule wa DW sauti ya ujerumani Umil kher. Mpaka leo sina hakika kama ni male or female
KashifaKWIZERA Haisikiki huku Tanzania ni huko kwenu Kigoma na Nchi za maziwa makuu.Redio zenu hizo za wakimbizi
mjifunze Kiswahili sio kashifa NI KASHFAKashifa
hiyo number 2 CHASE Mbona sijawhahimsikia huko azam?Katika tasnia ya habri hasa watangazaji ambao sauti zao zinanipa shauku ya kuendelea kuwasikilza wakiwa wanatangaza ni hawa
1.Mabere Makubi ITV
2.Chase Hillary Azam TV
Tupia na wa kwako ambao sauti zao zinakuburudisha
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo number 2 CHASE Mbona sijawhahimsikia huko azam?
Kaishia wapi huyu mzeeReinfred masako,aliibuka enzi za mv bukoba
Regina mwoleka yupo BBC sasa anajiita REGINA MZIWANDA ina maana ulikuwa huji ingekuwa bia mpya au zana ungeshajua jina lake na inapatikana wapi he heNaona mkuu umenunua simu mupya ili uwahi kiti che mbele mapema.....hahahah
tutakusamehe msukuma ni ZUHURA YUNUS BBC na RITA CHIWALO EAST AFRICAN RADIO1.Sulma kassim-BBC(sijiu nimepati jina
2.Rita Chiwalo-Ea radio
NYIE NDIO HUWA MNABAKAMarion Elias wa ITv ya miaka ya tisini kadhaa kipindi cha mapishi alikuwa ananidindisha kabla ya umri wangu,she was so hot that mama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaah haya banaRegina mwoleka yupo BBC sasa anajiita REGINA MZIWANDA ina maana ulikuwa huji ingekuwa bia mpya au zana ungeshajua jina lake na inapatikana wapi he he
Huyo Rita Chiwalo alikuwa Radio Wapo akahaihama.tutakusamehe msukuma ni ZUHURA YUNUS BBC na RITA CHIWALO EAST AFRICAN RADIO
Amestaafu mbona huyu...ITV walimfanyia bonge LA part kumuagaKaishia wapi huyu mzee
Mkuu na wewe ulikuwa unapata jarida lao...hahaha umenikumbusha mbali mkuu kitu cha TosamagangaFemale, ingia websote ya Dw utakuta kila kitu,nakumbuka pindi nasoma secondary walikua wananitumia jarida lao,majina ya watangazaji,hapo ndo nikajua kwamba Umil Kher ni mwanamke
Nilikua napata mkuu wangu!Mkuu na wewe ulikuwa unapata jarida lao...hahaha umenikumbusha mbali mkuu kitu cha Tosamaganga