Watangazaji ninaowazimia(penda)

Watangazaji ninaowazimia(penda)

Mm namkubali sana yule wa DW sauti ya ujerumani Umil kher. Mpaka leo sina hakika kama ni male or female

Female, ingia websote ya Dw utakuta kila kitu,nakumbuka pindi nasoma secondary walikua wananitumia jarida lao,majina ya watangazaji,hapo ndo nikajua kwamba Umil Kher ni mwanamke
 
Naona mkuu umenunua simu mupya ili uwahi kiti che mbele mapema.....hahahah
Regina mwoleka yupo BBC sasa anajiita REGINA MZIWANDA ina maana ulikuwa huji ingekuwa bia mpya au zana ungeshajua jina lake na inapatikana wapi he he
 
Female, ingia websote ya Dw utakuta kila kitu,nakumbuka pindi nasoma secondary walikua wananitumia jarida lao,majina ya watangazaji,hapo ndo nikajua kwamba Umil Kher ni mwanamke
Mkuu na wewe ulikuwa unapata jarida lao...hahaha umenikumbusha mbali mkuu kitu cha Tosamaganga
 
Back
Top Bottom