Watangazaji ninaowazimia(penda)

Watangazaji ninaowazimia(penda)

Salim Kikeke BBC
Zuhra Hassan BBC
Hemed Kivuyo ITV
Baraka Ngemba bonge la mtu Chanel Ten
Ufoo Saro ITV
 
Daktari PANJUANI ni noma sana

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
1.Marehemu David wakati RTD
2.Marehemu Julius nyisanga ancle JJ
3.Ahmed kipozi
4.Marin Hassan Marin
5.Charles Hillary
6.Ivona kamuntu
7.Ally salehe alikuwa bbc zaman ila sasa yupo azam


Ally Salehe ni Mbunge siku hizi ameacha kutangaza
 
kuna yule wa BBC swahili mwanamke ila ana sauti ya kiume, dah sijapata ona

enz hizo unakurupushwa na mzee uwai shule, unakumbana na hiyo saut ya BBC

n0 r0se with0ut th0rn
 
Back
Top Bottom