kipwate
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 517
- 509
Emma kapanga e fm anajitahidi sanaTunu hassan shenkome-efm
Scolastica mazula- efm
Salim kikeke
Charles Hillary
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Emma kapanga e fm anajitahidi sanaTunu hassan shenkome-efm
Scolastica mazula- efm
Salim kikeke
Charles Hillary
Mm namkubali sana yule wa DW sauti ya ujerumani Umil kher. Mpaka leo sina hakika kama ni male or female
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hemed kivuyo
KWIZERA Haisikiki huku Tanzania ni huko kwenu Kigoma na Nchi za maziwa makuu.Redio zenu hizo za wakimbiziKuna mmoja yupo Radio Kwizera kipindi cha mchana nimemsahau jina, nikumbusheni
kumbe naye ni mtangazaji mzuri sikujua aisee!!una miaka mingapi?
Nilijua utamtaja ummy kheriKuna Mwanamke wa idhaa ya kiswahil sauti ya Amerika ananikosha hatar,huwa anatangaza mida ya jion na ni wa muda mrefu atakuwa ni Mtu mzima kwa sasa
Kiboko ya ote ni oudax mtiganzi itvKatika tasnia ya habri hasa watangazaji ambao sauti zao zinanipa shauku ya kuendelea kuwasikilza wakiwa wanatangaza ni hawa
1.Mabere Makubi ITV
2.Chase Hillary Azam TV
Tupia na wa kwako ambao sauti zao zinakuburudisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe na wewe mkimbizi mwenzangu yaani mpaka radio KWIZERA unaifahamu..nimefurahi kuwa na ndugu yangu..aisee tutafutaneKWIZERA Haisikiki huku Tanzania ni huko kwenu Kigoma na Nchi za maziwa makuu.Redio zenu hizo za wakimbizi
Ahmed jongo,nadhir mayoka,bahati kombwa,abisay steven,kisunga steven,halima kihembaJacob Tesha,Sara Dumba,Eda Sanga, Ahmed Jongo, Charles Hillary, Masoud Masoud, Bujaga izegokadago,Shaban Kisu, Ben Kiko, Ezekiel Malongo, Halima mchuka,Sued Mwinyi Millard Ayo, Gardner G Habash,Babra Hasan, Rose Chitala, Aboubakari Sadik, Maulid wa Kitenge,Godwin Gondwe, Ivona Kamuntu na Rahabu fungo
Sent using Jamii Forums mobile app