Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MarehemuJohn Ngayoma wa ITV enzi hizo kabla sijawa muhenga.
Sun downer SAA 4pm magic FMyule aliyekuwa Triple A ya Arusha?? hapo Magic anatangaza kipindi gani sasa hivi
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Naona mkuu umenunua simu mupya ili uwahi kiti che mbele mapema.....hahahahScola Kisanga --- Ea Radio
Mary Edward ----- Magic fm
Irene Tillya ---- East Africa Radio
Regina Mwalekwa popote alipo
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Yaani we mwanaume unamsifia mwanaume mwingine......dah
Irene mkubwa kamaliza UDSM na Adela ni mdogo kamaliza SAUT Mwanza. Watoto wazuri hawaAdela tilya wa EFM na Irene Tilya wa Ea radio...sijui hawa ni ndugu?
Restituta
Dah huki chuma safi sanaReinfred Masako
Hapa hakuna kitu.Gadna G Wa clouds
Ni mwanamama mtu mzima haswaMm namkubali sana yule wa DW sauti ya ujerumani Umil kher. Mpaka leo sina hakika kama ni male or female
Nn kwamfanoHapa hakuna kitu.
tupo pamoja banyamulengeKumbe na wewe mkimbizi mwenzangu yaani mpaka radio KWIZERA unaifahamu..nimefurahi kuwa na ndugu yangu..aisee tutafutane