Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ndio kaingia sasaVipi kuhusu mzee wa ngumi mchomoko?
Mtu kazi
Osama ni promising fighter. Akipata training vema, ni mtu.Hili la watangazaji kufagili mabondia wa jeshi ni kweli kabisa, lakini kwa hili la kwamba eti hajapiga ngumi za maana naweza nikakupinga......jamaa alijijua hana pumzi ndefu kwa hyo alikuwa anapigana kwa hesabu kubwa sana, alikuwa anahakikisha ngumi 10 anazorusha 6 au 7 zinampa point, japo huyo dogo Osama ni mgumu na mvumilivu sana.....hongera sana kwake Osama japo amechapika kihalali kabisa
Yuko vizuri sana huyo dogo, ni sugu ana pumzi na ana ngumi nzito japo hakupata nafasi ya kusukuma punch kwa targetOsama ni promising fighter. Akipata training vema, ni mtu.
hujui kitu weweMnapenda kulalama kenge nyie
hivi kupiga guard ndio kupata point ?Hili la watangazaji kufagili mabondia wa jeshi ni kweli kabisa, lakini kwa hili la kwamba eti hajapiga ngumi za maana naweza nikakupinga......jamaa alijijua hana pumzi ndefu kwa hyo alikuwa anapigana kwa hesabu kubwa sana, alikuwa anahakikisha ngumi 10 anazorusha 6 au 7 zinampa point, japo huyo dogo Osama ni mgumu na mvumilivu sana.....hongera sana kwake Osama japo amechapika kihalali kabisa
Imedhihirika Mandonga siyo Mzima , na naamini hatopewa pambano loloteWanaharibu ngumi mpaka machizii wanatuletea kina mandonga ???
Ndio maana nikasema alihakikisha katika ngumi 10 anazorusha basi 6 au 7 zinampa pointhivi kupiga guard ndio kupata point ?
kama humpigi mpinzani wako unapataje point ? au point zinapatikana kwa kurusha mikono tu ?Ndio maana nikasema alihakikisha katika ngumi 10 anazorusha basi 6 au 7 zinampa point
Mkuu unatizama pambano ukiwa bar au?hivi kupiga guard ndio kupata point ?
Mandonga vp?
huna hoja , aliyelewa anawezaje kunyoosha maelezo hapa jf ?Mkuu unatizama pambano ukiwa bar au?
Basi wewe utakuwa na sababu zako nyinginekama humpigi mpinzani wako unapataje point ? au point zinapatikana kwa kurusha mikono tu ?