Hii iko wazi kabisa na inaitia aibu Azam Media , Watangazaji hawapaswi kuwa na upande .
Kwa Mfano , bondia wa JW anayeitwa Emiliano Partric amefagiliwa na watangazaji wa Azam kibwege sana huku akibanwa mbavu na bondia mchanga aitwaye Osama kutoka Mtwara , kwa kifupi ni kwamba huyo dogo Osama hajapigwa ngumi yoyote ya maana , hata kama ni kweli kwamba huyo Emiliano ameshinda , lakini kiukweli Watangazaji wa Azam walitaka kuwaandaa Washabiki kwa matokeo ya Utata .
Hii ni Aibu sana !
Acheni Matokeo yatangazwe na Majaji , Watangazaji wa Azam kudhani sisi wengine hatujui boxing ni mawazo ya Kijinga sana !
Tuheshimiane .