Watangazaji wa Azam Wanapendelea Mabondia wa Jeshi wa kutoka DSM

Watangazaji wa Azam Wanapendelea Mabondia wa Jeshi wa kutoka DSM

Niko nae hapa chako Ni chako kazoea kupinga pinga kwenye siasa basi hata kwenye michezo ni mwendo wa kupinga tu
emoji23.png
[emoji1787

huna hoja , aliyelewa anawezaje kunyoosha maelezo hapa jf ?
umenyoosha maelezo gani zaidi ya chuki?wote tunatizma pambano acha majungu na ubishi
 
Bata mechi inayopigwa mda huu ni ya mchongo. Mtz anachemka. Ila jamaa anampotezea; ngumi anazorusha ni za mchongo
 
Huyo osama wala hastahili hilo jina wamgemwita kingwendu tuu..anaruka ruka tu ulingoni
 
Katika watangazaji wanaoniboa ni huyo patrick Nyembera...jamaa anafosi sana aonekane ni mtangazaji na mchambuzi wa michezo ila hana cha maana. Si soka wala ndondi hakuna ajualo. Nlimkataa toka yupo EATV kabla hajahamia Azam tv
 
Watu wa chadema mna shida Sana
Hamna jema kabisa,Nyie kila kitu kupinga TU,
Hata Yawe mazuri vipi, Lazima mtapinga tu
 
Aaaaa huyu dogo osama kapigwa sema kajitaidi mvumilivu sana mtatusamee wazee wa nangwanda
 
Katika watangazaji wanaoniboa ni huyo patrick Nyembera...jamaa anafosi sana aonekane ni mtangazaji na mchambuzi wa michezo ila hana cha maana. Si soka wala ndondi hakuna ajualo. Nlimkataa toka yupo EATV kabla hajahamia Azam tv
Mmmm unalako wewe?
 
Mmmm unalako wewe?
Uyo anachuki na ma bondia wa Jeshi, kwakua ana misimamo ya kipinzani dhidi ya Serikali Sasa nadhani anajumuisha na Mabondia wa Jeshi.
Huu ni mchezo hutakiwi ku uingiza katika Siasa, Aliwahi kuandika Selemani Kidunda hawezi kumpiga Katompa wa DRC.
Bahati nzuri Kidunda alidhirisha ubora wake pasina shaka dhidi ya Katompa, anacho fanya Sasa ni mwendelezo wa chuki binafsi dhidi ya Mabondia wa Jeshi.
 
Hii iko wazi kabisa na inaitia aibu Azam Media , Watangazaji hawapaswi kuwa na upande .

Kwa Mfano , bondia wa JW anayeitwa Emiliano Partric amefagiliwa na watangazaji wa Azam kibwege sana huku akibanwa mbavu na bondia mchanga aitwaye Osama kutoka Mtwara , kwa kifupi ni kwamba huyo dogo Osama hajapigwa ngumi yoyote ya maana , hata kama ni kweli kwamba huyo Emiliano ameshinda , lakini kiukweli Watangazaji wa Azam walitaka kuwaandaa Washabiki kwa matokeo ya Utata .

Hii ni Aibu sana !

Acheni Matokeo yatangazwe na Majaji , Watangazaji wa Azam kudhani sisi wengine hatujui boxing ni mawazo ya Kijinga sana !

Tuheshimiane .
Lazima utakuwa timu Osama wewe. Mbona kwenye pambano la mjeda na yule tall wa Mwanza muda wote walimfagili dogo wa Mwanza? Acha chuki na makasiriko, be realistic. Osama kapigwa kihalali kabisa.
 
Back
Top Bottom