Tetesi: Watangazaji wa kike TBC wagoma baada ya kutakiwa kuvua Hijabu zao wakati wa kutangaza

Tetesi: Watangazaji wa kike TBC wagoma baada ya kutakiwa kuvua Hijabu zao wakati wa kutangaza


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akikagua kikosi cha wanawake cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wakati wa maadhimisho hayo.
 
toW0HLKw0_eZRKHUURD38LIxZWcW5RXD7goNoYJWFVWEj8kMEyL1bPXqHWB5CmfrXmD1mA=w329-h566-no

Kushoto Bi. Mwamvua (Mama Daisy) na mbele yake ni Bi. Titi Mohamed na Bi. Zainab mke wa Tewa Said Tewa wakiwa mstari wa mbele kudai haki ya kuwa na nchi huru. Kina Mama hao walikuwa wana harakati na wapigania uhuru wa Tanganyika. Picha kwa hisani kubwa ya mdau mahiri wa historia JamiiForums: Mohamed Said : Hamza Mwapachu, Abdulwahid Sykes na Chief Michael Lukumbuzya
 

Kikosi cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Wanawake kikipita mbele ya Rais kwa Gwaride la Mwendo wa pole,katika sherehe za Kutimia miaka 49 ya Mapinduzi Matiukufu ya Zanzibar huko Uwanja w Amaan Studium, Mjini Zanzibar leo.

Hapo wangekula kitu cha hijabu na gauni refu na mabuti ya mvua wangetokelezea kistaha zaidi....
 
TA1A5007.jpg

Baadhi ya Makamanda na Wapiganaji wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakipata mlo katika Kambi ya JKU (Jeshi la Kujenga Uchumi) katika kuwapongeza kufanikisha sherehe za miaka 50 za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Sherehe hiyo iliandaliwa na Rais wa Zanzibar Dr. Shein ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar.
Ukweli unaweza kukuua
 
Hata kuendesha gari na makobazi ni marufuku. Sijui hii kule visiwani imekaaje!
Makobaz sio vazi rasmi la kiislamu ni mtu anavaa kwaajili ya urahisi wa kuchukua udhu bila bughudha ya kuvua na kuvaa viatu vya kutumbukiza. Hijabu ni vazi rasmi na la lazima, sio hiari kwa Mwislamu Mwanamke kuvaa hijabu. Hata kanzu sio lazima ni hiari lakini hijabu sio ombi ni LAZIMA. Waambie waislamu wakufundishe kama hujui.
 
MBONA SIONI HIJABU WALA CHA USHUNGI KWA MAKAMANDA WA ZANZIBAR ? Naona kuna nywele za twende kilioni? Je mtakubaliana na mimi kuwa kila Taasisi ina uniform zake za mavazi na hivyo kila mmoja lazima avae hizo bila kujali Dini yake?
 
TBC ibinafsishwe tu maana hakuna namna.
Signal ipo chini sana ktk FTA dish.
 
Imani zao ziheshimiwe kwani zimelindwa na kaiba;kana kuna mapungufu waelekezwe na si kuwanyanyasa kwa ajili ya mavazi yao.mbona wavaa nusu uchi wanaachwa huru?
 
Yaani wakristo hii chuki yenu inatisha kwakweli! Sijui kwakuwa dini yenu ni ya kutungwa tu wazungu! Wamewaletea wao wamerudi zao ulaya kuponda maisha, hakuna mzungu anaye care khs ukristo!ila miafrika mzee! Hao wayahudi wenyewe ambao yesu kazaliwa kwao hakuna mkristo, tena wanasema wazi ukristo umetungwa tu na wazungu
Nakusuport njisi unavyo taka kufikiri sasa ebu tulia kidogo , uislam n ya waarab ilienezwa kwa upanga na vita na ndoa 'intermarriage' ukristo n ya wazungu iliebezwa kwa misaada, elimu na kadhalika lakin mwisho bado wote wanatubagua , mwisho hakuna kugombana kisa uislam na ukristo coz wote tumekuwa traped , tujifunze kuvumiliana tu ndo tutaish na ipo siku ss' watu weusi' tuta conquer the world
 
(NIMEIKUTA SEHEMU HII MWENYE UHAKIKA ATUJULISHE ZAIDI)

TAFADHALI KWA WAISLAM NA WAPENDA HAKI TUFUATILIE HILI KUJUA UHALISIA WAKE.

Kuna taarifa kua watangazaji wa kike Waislam wa TBC TV wamegoma baada ya uongozi kuwataka kuvua hijab wanapotangaza.

Ieleweke ya kuwa wengi wao hupenda kuvaa hijab hususan katika kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhani. Taarifa zinadai kesho asubuhi kuna kikao kujua hatma yao.

TBC TV ni chombo kinachoendeshwa kwa kodi zinazotokana na wananchi wa Tanzania ambao Waislam ni sehemu ya walipa kodi.

Ikithibiti hivyo itaonesha ni namna gani nchi zetu zinakoelekea, asiyejisitiri anaheshimika na anaejisitiri anatakiwa kuvua sitara yake..




Hitimisho lako ni la kichochezi.

Kwanza umesema tetesi, iweje uanze kuleta udini
 
Hivi uislam ni kuwa MTU wa shali kila kukicha? Kwa nini watake kuona kila kitu kinaongozwa kwa desturi za dini yao? Anaye mcha Mungu anafuata utaratibu mahalia, TBC siyo kama Tumaini TV wala Redio imani! Jifunzeni kutii taratibu zilizopo, kuishi maisha ya Siria wengi hatupendi!
 
Issue hapa si kuangalia tbc bali ni mavazi yanayotakiwa,nadhani hao wanaovaa model ndio mavazi yanayotakiwa maana pale ni ofc si mahali pa ibada!
 
Uislam ni dini safi na isiyopenda ugomvi ila maneno kama haya ndo husababisha hasira na chuki,leo nimekuambia kistaarabu acha hayo maneno yako,usiwachokoze watu ambao hataki uchokozin
Acha mkwara wako wewe unampiga nan Beat...
 
Back
Top Bottom