Tetesi: Watangazaji wa kike TBC wagoma baada ya kutakiwa kuvua Hijabu zao wakati wa kutangaza

Tetesi: Watangazaji wa kike TBC wagoma baada ya kutakiwa kuvua Hijabu zao wakati wa kutangaza

UOTE="Kashishi yetu, post: 16448450, member: 216336"]Watii sheria za mwajiri wao au la waache kazi. Hatubembelezi mtu. Tupo wengi wenye Digrii za utangazaji na hatuna kazi badala yake tumebaki kuwa watangazaji wa Jamiiforums tu.[/QUOTE]
Ni tz pekee ambapo watu wanawapiga vita wanaovaa mavazi ya kujistir na kinyume chake wanawashabikia wanaopita na vichupi mtaani, poleni sana watz...
 
Mavazi ya kidini yavaliwe huko huko kwenye dini zenu.
Mwishoni na wanajeshi watataka uniform za kidini
Acha ufala we bujibuji,ni haki yao kuvaa hijab kwa mujibu wa imani zao,waambie na we Dada zako na mama zako wavae vichupi waonyeshe maungo yao,m,make wa kiislam hapaswi kuonyesha maungo yk kwa mwanaume ambaye so mumewe,thamani ya mwanamke wa kiislam ni kubwa sana kwa mujibu wa imani ya dini ya kiislam,na uislam umeumbwa ktk maumbile mazuri na yaliyo mema,hatuishi km wanyama mkuu
 
Likija suala LA kufanya KAZI kwenye taasisi za kiserikali, ni lazima watambue kuwa serikali haina dini. Vipi Leo mwanajeshi akitaka avae kanzu kazini Kisa tu amefunga?
 
Serikali haiamini katika dini ila watu wake wana dini
Tatizo la waislam hijabu wanawake wanavaa wakati wa ramadhani tu
Wawe kama masisisters wa katholiki kwamba hijabu ni vazi rasmi sio maigizo
 
(NIMEIKUTA SEHEMU HII MWENYE UHAKIKA ATUJULISHE ZAIDI)

TAFADHALI KWA WAISLAM NA WAPENDA HAKI TUFUATILIE HILI KUJUA UHALISIA WAKE.

Kuna taarifa kua watangazaji wa kike Waislam wa TBC TV wamegoma baada ya uongozi kuwataka kuvua hijab wanapotangaza.

Ieleweke ya kuwa wengi wao hupenda kuvaa hijab hususan katika kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhani. Taarifa zinadai kesho asubuhi kuna kikao kujua hatma yao.

TBC TV ni chombo kinachoendeshwa kwa kodi zinazotokana na wananchi wa Tanzania ambao Waislam ni sehemu ya walipa kodi.

Ikithibiti hivyo itaonesha ni namna gani nchi zetu zinakoelekea, asiyejisitiri anaheshimika na anaejisitiri anatakiwa kuvua sitara yake..
Vazi kama vazi halina tatizo ila tatizo linakuja kuhusishwa na imani hivo si busara kwa chombo cha umma kama TBC kuacha wafanyakazi wake waoneshe waziwazi imani zao wakiwa kazini. Baba wa taifa hakutaka tuwe hivo kumbuka sare za skuli enzi hizo zilikuwa aina moja tu lakini sasa.........!
 
Hivi TBC wana sare maalum?Kama hawana basi kila mtu anaweza kuvaa apendavyo,vinginevyo waweke uniform.
 
Mavazi ya kidini yavaliwe huko huko kwenye dini zenu.
Mwishoni na wanajeshi watataka uniform za kidini
Mkuu hivi hujawahi kuona masister wengi tu ambao ni watumishi wa serkal na utambulisho wao hawautoi,mbona hakuna muslim ambae anaweza ku claim?
 
Back
Top Bottom