GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yaani Klabu ya Yanga ikifanya vyema katika Mechi zake zozote zile huwa mnatangaza tena kwa Bashasha zote.
Ila Yanga SC hiyo hiyo ikifungwa (kama ilivyofungwa jana na Ihefu FC huko Highland Estates Mbarali) hamtangazi na huwa mnajifanya hamjayapata Matokeo.
Lakini Klabu ya Simba hata ikifungwa tu katika Mchezo wa Kirafiki achilia mbali ile ya Ligi na ya Kimataifa huwa mnakuwa na uharaka mno wa Kuitangaza na hata mkiwa mnatangaza Sauti zenu huwa zinaonyesha kuwa huwa mnafurahia.
Punguzeni Unazi wenu kwa Yanga SC na huu Uzi wangu uwafikie hawa Watangazaji Wanafiki na wenye Chuki na Simba SC kwakuwa ni wana Yanga SC lia lia Omary Mkambala na Scola Kisanga.
Huwa sina Uvumilivu na Wapumbavu, Wanafiki na wenye Chuki na Wivu wa Kipuuzi.