Watangazaji wa redio

Yusuph Issa

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2013
Posts
528
Reaction score
82
Habari wanajamvi i hope mko poa na mnaendelea na mishe mishe za kila siku.leo na swali kwenu hivi nini maana ya utangazi coz juzi tu nilikuwa nasikiliza redio moja dah!! Kiukweli sikuelewa jamaa alikuwa anatangaza au ni kuropoka kwani hauwezi kutangaza kwa kuweka vionjo na kuwateka wasikilizaji au mpaka upige kelele kama treni la reli ya kati?!!!!!! fungukeni wanajamvi
 
Watangazaji wengi ni vilaza wa hali ya juu. Sidhani kama huwa wanasomea kazi yao kwa kweli. Yaani kuna wengine ni kupiga makelele, kujichekeshachekesha au kurudiarudia maneno yaleyale kila siku. Mfano huyu anayejiita B12 na Adam Mchovu huwa hakuna kitu kabisaaaaaa.
 
radhia hao kina madam mchovu na bibi twelve ni waajiriwa wa role model wako rugay mzee wa fursa!kaiona fursa ya kuwaajili vilaza ili awalipe mpunga mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…