Yusuph Issa
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 528
- 82
Habari wanajamvi i hope mko poa na mnaendelea na mishe mishe za kila siku.leo na swali kwenu hivi nini maana ya utangazi coz juzi tu nilikuwa nasikiliza redio moja dah!! Kiukweli sikuelewa jamaa alikuwa anatangaza au ni kuropoka kwani hauwezi kutangaza kwa kuweka vionjo na kuwateka wasikilizaji au mpaka upige kelele kama treni la reli ya kati?!!!!!! fungukeni wanajamvi