Sports Extra ya Clouds FM wachambuzi ni wababaishaji. Wakati timu ya taifa inafanya vibaya walisema kocha ni kimeo baada ya kocha kutimuliwa wanadai kufukuza kocha na benchi ni kufurahisha watanzania.
Kwa ujumla ni wababaishaji inaonekana wana chuki na TFF.
Weka records zako sawa, dauda hata hakufika mbali, aliletewa zengwe mapema kabisa. Na jina likakatwa baada ya kurekodi kikao chao walichokuwa wanapanga uhalamia!!! . Hii TFF ni kundi la wachache tu, usifikirie utatoka huko uingie tu, ni kwa wateule wachache, wambura yupo wapi?, Ndumbalo, ni kama fifa tu. na sio tff tu hata kwenye virabu vyetu hivyo vikongwe, mambo ni haya haya tu.