Watangazaji wa Sports Extra ni wababaishaji

Watangazaji wa Sports Extra ni wababaishaji

balumbe

Senior Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
114
Reaction score
18
Sports Extra ya Clouds FM wachambuzi ni wababaishaji. Wakati timu ya taifa inafanya vibaya walisema kocha ni kimeo baada ya kocha kutimuliwa wanadai kufukuza kocha na benchi ni kufurahisha watanzania.

Kwa ujumla ni wababaishaji inaonekana wana chuki na TFF.
 
nyie ndiyo majungu. wale ni wachambuzi ambao hutoa maoni yao na mara nyingi utakuta wanapingana na wanajitahidi sana kuwa neutral.
 
We hukumbuki kuwa juna wengine waligombea nafasi pake TFF wakakosa
 
We hukumbuki kuwa juna wengine waligombea nafasi pake TFF wakakosa

Weka records zako sawa, dauda hata hakufika mbali, aliletewa zengwe mapema kabisa. Na jina likakatwa baada ya kurekodi kikao chao walichokuwa wanapanga uhalamia!!! . Hii TFF ni kundi la wachache tu, usifikirie utatoka huko uingie tu, ni kwa wateule wachache, wambura yupo wapi?, Ndumbalo, ni kama fifa tu. na sio tff tu hata kwenye virabu vyetu hivyo vikongwe, mambo ni haya haya tu.
 
Back
Top Bottom