Chereko Chereko
Member
- Dec 4, 2011
- 54
- 6
Bi hindu..
Teh teh teh....Bi Hindu naye mtangazaji?
Kwahiyo na watu ambao sio watangazaji ila wafupi nao wana sauti nzuri?
mfano??
Sasa nitoe mfano wakati mimi ndie mwenye swali?
Fikiria unaowajua alafu unijibu kama ni kweli au la.
Mzee small.
Mwala wa vitimbi kenya..