TheChoji JF-Expert Member Joined Apr 14, 2009 Posts 5,771 Reaction score 17,849 Jan 7, 2012 #21 ..ila watu wafupi nao hua wanachonga.. labda ndio maana wanauweza utangazaji.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Jan 7, 2012 #22 Grace Kingalame..
LEGE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 5,122 Reaction score 9,209 Jan 7, 2012 #23 KIBONDE, KIBONDE,KIBONDE no no no no no yule anatafuna ulimi tuu bana sauti yake imekaa kigegereka zaidi
KIBONDE, KIBONDE,KIBONDE no no no no no yule anatafuna ulimi tuu bana sauti yake imekaa kigegereka zaidi
Mwakalinga Bujo JF-Expert Member Joined Oct 22, 2008 Posts 2,718 Reaction score 1,441 Jan 13, 2012 #24 Kweli Jf ni zaidi ya social netiweki...
only83 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 5,343 Reaction score 2,527 Jan 13, 2012 #25 C.T.U said: zembwela Click to expand... Huyu ni mwandishi au muhuni......kama huyu nae ni mwandishi basi hakuna aja ya kuwa na chuo cha uandishi wa habari na walimu kama Ayub Rioba!!
C.T.U said: zembwela Click to expand... Huyu ni mwandishi au muhuni......kama huyu nae ni mwandishi basi hakuna aja ya kuwa na chuo cha uandishi wa habari na walimu kama Ayub Rioba!!