Watangazaji wanaosoma magazeti kwa mbwembwe kuchukuliwa hatua

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Meneja huduma za Utangazaji, TCRA, Mhandisi Andrew Kisaka, amesema kuwa watangazaji wote wanaosoma Habari kwa Mbwembwe na kuongeza chumvi kwenye habari wanazosoma watachukuliwa hatua.

Your browser is not able to display this video.


📹 TheChanzo
Written by Mjanja M1 ✍️
 
Hata kule kunako style 1 tu ukileta mbwembwe unachukuliwa hatua
 
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema itawachukulia hatua baadhi ya watangazaji wanaosoma magazeti kwa mbwembwe huku wakiongezea baadhi ya vitu wakati wa usomaji.

Hayo yameelezwa na Meneja Huduma za Utangazaji, Andrew Kisaka katika mkutano wa mwaka wa vyombo vya utangazaji nchini.

Swahili times
 
Kwa nini??
 
Dah!...
 

Si wangesema tu kuwa Kitenge atachukuliwa hatua...

Kifuatacho ni redio kuacha kusoma magazeti...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…