Watangazaji wapenzi wa uto wana wivu tofauti na wapenzi wa Simba

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Tangu jana nimekuwa nikisikia maoni ya watangazaji wanaoonesha wazi kuumizwa na matokeo ya Simba hasa kwa kuwa yamewa prove wrong.

Wamekuwa wakitumia vyombo vya habari kuikejeli kwa maneno mengi huku wakiamini ushindi wa Simba umetokana na mipango nje ya uwanja kwa asilimia kubwa.

Hii ni dhihaka dhidi ya soka na wapenda soka. Mpira ni mchezo wa wazi na hakuna cha ajabu isipokuwa uwezo wa kucheza na umakini wa wachezaji.

Wameanza kutabiri kama walivyokuwa wakitabiri katika mechi zilizopita.NashAngaa wanaitaja Enyimba.Ila timu hiyo tumewahi kuifunga goli 2 bila hapa nyumbani,mwaka iliyotutoa kwa kutufunga goli 3 bila kwao na kwa ubora waliokuwa nao mwaka ule walichukua ubingwa Afrika.

Simba imewahi kumtoa bingwa Afrika Zamalek.Nasikitika washangiliaji wengi wa uto wanaojiita waandishi wa habari na watangazaji wana maneno ya kishoga sana.Ukiamua kubishana nao,watakushinda kwa uwezo wao wa kuchamba mithili ya wanawake wasiojitambua.
 
Mimi ni mshabiki wa Simba ila sijapenda uwasilishaji wako,naona umetumia lugha kali isiyo na staha!

Nways,Al ahaly alikufa taifa,Zamaleki,AS Vital na TP Mazembe alibahatisha draw msiku wa mwaka juzi!
So Yeyote taifa matokeo yake mazuri ni draw!Hatujawahi poteza kwa mkapa mechi za kimataifa!Hii inatupa ujasiri na kujiamini!
 
Tangu jana nimekuwa nikisikia maoni ya watangazaji wanaoonesha wazi kuumizwa na matokeo ya Simba hasa kwa kuwa yamewa prove wrong.
Wamekuwa wakitumia vyombo vya habari kuikejeli kwa maneno mengi huku wakiamini ushindi wa Simba umetokana na mipango nje ya uwanja kwa asilimia kubwa.
Hii ni dhihaka dhidi ya soka na wapenda soka.Mpira ni mchezo wa wazi na hakuna cha ajabu isipokuwa uwezo wa kucheza na umakini wa wachezaji.

Wataje hao wachambuki Kama kweli unafanya hiphop
 
Mkuu hata kama ni ushabiki lakini tumia lugha ya staha.
 
Hawa wanaoiita Simba ni "pisi kali" mbele ya timu zilizoingia kwenye group stage unatumia lugha gani kuwaelezea?
Mimi ni mshabiki wa Simba ila sijapenda uwasilishaji wako,naona umetumia lugha kali isiyo na staha!

Nways,Al ahaly alikufa taifa,Zamaleki,AS Vital na TP Mazembe alibahatisha draw msiku wa mwaka juzi!
So Yeyote taifa matokeo yake mazuri ni draw!Hatujawahi poteza kwa mkapa mechi za kimataifa!Hii inatupa ujasiri na kujiamini!
 
Mkuu jaribu kutumia lugha nzuri hata kama wamekukera, zoea ukosoaji.
 
Ninatumia uwanja mdogo sana kupeleka ujumbe huu ambao nautoa kwa uzito sawa na kauli za watangazaji hawa manazi wa uto.
Sijapendezwa na wao kuwaita "Simba pisi kali"
Kama na wewe ni mmoja wao imeze kama ilivyo

Hawakuwa na staha katika ukosoaji wao zaidi ya kuelezea kwa hisia za kishabiki tu.

Clouds sio watani wa Simba ila kwenye page yao wamepost picha ya paka mweusi na kuandika caption ya "Sisi ni...", Ili wachangiaji wamalizie.

Hayo ningeyaona kwa msemaji wa uto yasingenisumbua,au kwa mashabiki wao ningefurahi tu kwani ni utani,lakini huwezi kutumia kituo cha public kuonesha msimamo against Simba,nikachukulia poa mimi kama shabiki wa Simba
Mkuu jaribu kutumia lugha nzuri hata kama wamekukera, zoea ukosoaji.
 
Hawa wanaoiita Simba ni "pisi kali" mbele ya timu zilizoingia kwenye group stage unatumia lugha gani kuwaelezea?
Mkuu,kuna maneno mengi tu ya utani ya kutumia kwa watani zetu!Hayo uliyochagua hapana kwakweli!
 
Mkuu wewe unajua maana ya "pisi kali?"
Hilo ni tusi kuliko neno nililotumia.

Clouds wapo hewani sasa hivi wanajaribu kukumbushia neno hilo
Mkuu,kuna maneno mengi tu ya utani ya kutumia kwa watani zetu!Hayo uliyochagua hapana kwakweli!
 
Tangu jana nimekuwa nikisikia maoni ya watangazaji wanaoonesha wazi kuumizwa na matokeo ya Simba hasa kwa kuwa yamewa prove wrong.
Wamekuwa wakitumia vyombo vya habari kuikejeli kwa maneno mengi huku wakiamini ushindi wa Simba umetokana na mipango nje ya uwanja kwa asilimia kubwa.
Hii ni dhihaka dhidi ya soka na wapenda soka.Mpira ni mchezo wa wazi na hakuna cha ajabu isipokuwa uwezo wa kucheza na umakini wa wachezaji.

Wameanza kutabiri kama walivyokuwa wakitabiri katika mechi zilizopita.NashAngaa wanaitaja Enyimba.Ila timu hiyo tumewahi kuifunga goli 2 bila hapa nyumbani,mwaka iliyotutoa kwa kutufunga goli 3 bila kwao na kwa ubora waliokuwa nao mwaka ule walichukua ubingwa Afrika.

Simba imewahi kumtoa bingwa Afrika Zamalek.Nasikitika washangiliaji wengi wa uto wanaojiita waandishi wa habari na watangazaji wana maneno ya kishoga sana.Ukiamua kubishana nao,watakushinda kwa uwezo wao wa kuchamba mithili ya wanawake wasiojitambua.
Fala tu yule boya kidoti.
 
Mkuu wewe unajua maana ya "pisi kali?"
Hilo ni tusi kuliko neno nililotumia.

Clouds wapo hewani sasa hivi wanajaribu kukumbushia neno hilo
Hapo wana maana kila timu inatamani kukutana na simba,kama mwanaume anavyotamani mwanamke mzuri(pisi kali)!
Lakini hayo ya ushoga,hapana aiseee!

Dawa yao tunawaonesha soka la uhakika na kupenya kwenye makundi,halafu nasi tunakuja na maneno ya kukera ila yasiyo na ukakasi!
 
Pisi kali ni mwanamke Malaya...sio mzuri tu
Hapo wana maana kila timu inatamani kukutana na simba,kama mwanaume anavyotamani mwanamke mzuri(pisi kali)!
Lakini hayo ya ushoga,hapana aiseee!

Dawa yao tunawaonesha soka la uhakika na kupenya kwenye makundi,halafu nasi tunakuja na maneno ya kukera ila yasiyo na ukakasi!
 
Ninatumia uwanja mdogo sana kupeleka ujumbe huu ambao nautoa kwa uzito sawa na kauli za watangazaji hawa manazi wa uto.
Sijapendezwa na wao kuwaita "Simba pisi kali"
Kama na wewe ni mmoja wao imeze kama ilivyo
nimewasikia watangazaji wa sports extra wakiongelea suala la timu amabazo ni pisi kali ( timu zenye uafadhali kukutana nazo kwenye mashindano) halafu wameitaja hata Kaizer Chiefs, shida ni wewe labda umewaelewa vibaya mkuu.
 
Mimi ni mshabiki wa Simba ila sijapenda uwasilishaji wako,naona umetumia lugha kali isiyo na staha!

Nways,Al ahaly alikufa taifa,Zamaleki,AS Vital na TP Mazembe alibahatisha draw msiku wa mwaka juzi!
So Yeyote taifa matokeo yake mazuri ni draw!Hatujawahi poteza kwa mkapa mechi za kimataifa!Hii inatupa ujasiri na kujiamini!
Mechi ya Paka na Libolo, Paka akapigwa ndani nje walichezea mawinguni?
 
Walifanya vile kujikosha,kwani vipindi kabla ya hicho hiyo ndo ilikuwa kauli yao dhidi ya Simba pekee

Back
Top Bottom