Kuna kitu umesema. Ni cha maana sana. Watangazaji karibu wote wa Bongo, iwe TV iwe Radio au haya ma TV online yaliyoibuka kama mchicha... hawatumii sauti zao za asili. Kifupi huwezi kuwatofautisha.Yaani kuna kitu kinanikera mno kuangalia stesheni nyingi za TV Tanzania. Ni kwamba watangazaji wengi sana wa TV, wanawake kwa wanaume, wanapofanya matangazo wanakuwa wamengangamala utafikiri wanaishi kwa kula cement. Unakuta mwili umejikaza hawako natural kabisa, wako very conscious kwamba wanaangaliwa.
Halafu kitu kingine kinaniudhi sana ni karibu Watangazaji 95% wa TV na Radio Tanzania wanabadilisha sauti zao. Na wengi wanaongea kwa kusita sita (kwa pause) wakifikiri ndio inapendezesha kutangaza. Kwa nini lakini? Kwa mfano kuna dada mmoja anatabiri hali ya hewa TVT huwa nikimwona tu nabadilisha channel, ananiudhi mno kujibadilisha sauti na kujifanya anaongea kwa pause.
Kuna wakati Mtangazaji nguli Tanzania, Charles Hilary, alisema wanaongea "kizunguzungu" dada mmoja alipozidisha mno kuongea kwa pause. Charles alimuuliza kama alikuwa ameishi nje ya Tanzania muda mrefu kutokana na lafidhi yake, na huyu dada akasema hapana, ni mazoezi tu. Ndipo Charles akashangaa kwamba ni mazoezi ya kuongea kizunguzungu?
Kwa nini msiwe natural katika kukaa na kuongea? Hivi hakuna mafunzo mnapewa? KUna wengine wanadhani wakiongelea puani ndio Kiswahili chao kinaonekana cha kisomi, ovyo kabisa. Nani aliwaambia kubadili sauti zenu hizo na kuongea kwa pause kunapendezesha utangazaji? Mnakera mno na mnaharibu lafidhi ya Kiswahili. Acheni ulimbukeni. Hamuoni CNN, BBC Skynews wanavyoongea? U-artificial wa nini kwenye sauti zenu? Nani aliwaambia mkiongea naturally hampendezeshi matangazo?
Kitenge anatumia nguvu sana.Utangazaji ni kurelax siyo unatoa meno machafu mbele ya mic huku shingo ikitoa mishipa kama miguu ya mbung'o.
Mfano yule anayetangaza magazeti kwa mbwembwe huku akiongea kama anafokeana na mpwa wake.
Ila jamaa ana sauti nzuri sana kwenye habari makosa madogo madogo yanamshusha.Emily Lazarus wa Radio One kabobea kwenye kukosea majina. Kila habari lazima akosee jina Mfano kila siku anatamka "Joe Biden" kama inavyoandikwa badala ya "Jo Baiden". Sasa sijui "Peter" atatamka kama inavyoandikwa badala ya kusema "Piter"? Huwa hafanyi utafiti wa namna ya kutamka majina yalioko kwenye habari kabla hajasoma na haangalii habari za nje.
Wengi ni waongeaji sio watangazaji.Kitenge anatumia nguvu sana.
Na kuna wale watangazaji wa vipindi vya bongfleva sauti zao wote kutoka radio tofaut hufanana.
Ana sauti nzuri sana ila kutofuatlia taarifa za habari za nje na kujifunza namna ya kutamka majina ya watu na miji kutamfelisha.Ila jamaa ana sauti nzuri sana kwenye habari makosa madogo madogo yanamshusha.
Anaitwa Emilius Lazaro.
Alikuwa Mwl wangu nyakati fulani jamaa anajua anajitahidi kiasi chake japo makosa yake ni ya wazi.Ana sauti nzuri sana ila kutofuatlia taarifa za habari za nje na kujifunza namna ya kutamka majina ya watu na miji kutamfelisha.
Kumbe na we ushamshtukia? Mara nyingi anachemsha kwenye majina sema nimekumbuka mfano huu mmoja.Alikuwa Mwl wangu nyakati fulani jamaa anajua anajitahidi kiasi chake japo makosa yake ni ya wazi.
Namfahamu kiasi kikubwa matatizo yake kwenye habari ni makubwa anapata taabu sijui inatokana na nini.Kumbe na we ushamshtukia?
Na mtiririko wa usomaji wa habari kuna muda anaenda spidi isiyo kawaida katika usomaji.Kumbe na we ushamshtukia? Mara nyingi anachemsha kwenye majina sema nimekumbuka mfano huu mmoja.
Namfahamu kiasi kikubwa matatizo yake kwenye habari ni makubwa anapata taabu sijui inatokana na nini.
Nina muda sijasikia hewani mara ya mwisho nilikuwa nampata Capital Fm sijui kama bado anakomaa na habari.Mshtue
Sasa mkuu unataka nitangazee na kiswahili changu kile cha chattle kweli kabsa. 'Hiiiiiii heno nene bhanghosha...'Yaani kuna kitu kinanikera mno kuangalia stesheni nyingi za TV Tanzania. Ni kwamba watangazaji wengi sana wa TV, wanawake kwa wanaume, wanapofanya matangazo wanakuwa wamengangamala utafikiri wanaishi kwa kula cement. Unakuta mwili umejikaza hawako natural kabisa, wako very conscious kwamba wanaangaliwa.
Halafu kitu kingine kinaniudhi sana ni karibu Watangazaji 95% wa TV na Radio Tanzania wanabadilisha sauti zao. Na wengi wanaongea kwa kusita sita (kwa pause) wakifikiri ndio inapendezesha kutangaza. Kwa nini lakini? Kwa mfano kuna dada mmoja anatabiri hali ya hewa TVT huwa nikimwona tu nabadilisha channel, ananiudhi mno kujibadilisha sauti na kujifanya anaongea kwa pause.
Kuna wakati Mtangazaji nguli Tanzania, Charles Hilary, alisema wanaongea "kizunguzungu" dada mmoja alipozidisha mno kuongea kwa pause. Charles alimuuliza kama alikuwa ameishi nje ya Tanzania muda mrefu kutokana na lafidhi yake, na huyu dada akasema hapana, ni mazoezi tu. Ndipo Charles akashangaa kwamba ni mazoezi ya kuongea kizunguzungu?
Kwa nini msiwe natural katika kukaa na kuongea? Hivi hakuna mafunzo mnapewa? KUna wengine wanadhani wakiongelea puani ndio Kiswahili chao kinaonekana cha kisomi, ovyo kabisa. Nani aliwaambia kubadili sauti zenu hizo na kuongea kwa pause kunapendezesha utangazaji? Mnakera mno na mnaharibu lafidhi ya Kiswahili. Acheni ulimbukeni. Hamuoni CNN, BBC Skynews wanavyoongea? U-artificial wa nini kwenye sauti zenu? Nani aliwaambia mkiongea naturally hampendezeshi matangazo?
Unamsema kitenge au samsa sali?Utangazaji ni kurelax siyo unatoa meno machafu mbele ya mic huku shingo ikitoa mishipa kama miguu ya mbung'o.
Mfano yule anayetangaza magazeti kwa mbwembwe huku akiongea kama anafokeana na mpwa wake.
Lini ulimtembelea Christine Amanpour nyumbani?Ningependa kumwita Pascal Mayalla humu atoe neno. Haya madoido enzi zile aliyaanza Ben Kiko wa Dodoma (Benedicto KIkoroma nadhani). Mimi nataka nikimsikia Pascal Mayala anaongea mtaani na redioni sipaswi nione kuwa ni watu wawili tofauti. Christiane Amanpour wa CNN ni yule yule nyumbani na akiwa kazini CNN
Huyo huyo Kitenge. Kaona usomaji wa magazeti lazima ufoke na kelele za kujirudiarudia kama anaongea na viziwi.