Watangazaji wengi wa Television na Radio hapa Tanzania wanagangamala sana utafikiri wanakula cement, na wanatumia sauti zisizo zao (artificial)

Kuna mmoja jana nimeangalia tarifa ya habari supabuland mpaka nikashangaa na kubaki mdomo wazi.
Mdada fulani tipwatipwa amevaa kasketi kafupi mamiguu yamejaa makunyanzi wakati anapenda kwenye kameza camera zinamchora
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka ya sitini na sabini watangazaji TBC na RTD walikuwa wakifanyiwa voice casting, si kila mtangazaji anaweza kusoma habari fulani kufuatana na sauti na ulimi wake, baada ya hapo anapangiwa kipindi au kazi ya kufanya, siku hizi nadhani ni holela.
 
Of course ni rahisi kuwajua watangazaji wa aina hiyo humu JF - na wewe ni mmoja wapo au una ndugu yako. Kwa hiyo sitegemei ukaunga mkono thread. Naturally. Lakini najua ujumbe umefika.
Mkuu ndugu nisivowapenda wee a acha tu! ndiyo ningeshindilia Msumari kabisaa! wanafiki na maadui wa kwanza maishani ni ndugu wanakusotesha mbele ya macho yako! hasa ukiwasaidia sana!!
 
Itakuwa hawajiamini alafu hawajikubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi hawapendi kujifunza vitu vipya,sidhani kama huwa wanaangalia media za wenzetu kama aljazeera,BBC au French24 English.........pia wanapata shida sana kutamka majina ya miji,wanasiasa etc
 
Hakuna kitu.....anamwiga Abubakary Lyingo...
Umepiga palepale. Sikutegemea kuikuta hii comment kwa kweli. Waliwahi kuwa wote Radio One. Hadi ile "Kariibu" ni mule mule kabisa.
 
kuna mtangazaji wa Abood Fm hata mimi ananikera sana kwenye uchambuzi wa michezo yaani mropokaji halafu anaonekana hakuna anachojua kabisa
 
Kuna jembe lililoibadilusha super brand. Rainfred Masako, huyu ndo kawaleta wakina Kivuyo na George Marato[emoji23][emoji23]
 
Mazoezi ya kuongea kizungu
 
Alikuwa Mwl wangu nyakati fulani jamaa anajua anajitahidi kiasi chake japo makosa yake ni ya wazi.
yupo wapi sikuhizi manake simsikii tena Capital Radio na Radio One....kile kipindi chake cha Buzuki time kimepooza sana baada ya jamaa kuondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…