Kuna mmoja jana nimeangalia tarifa ya habari supabuland mpaka nikashangaa na kubaki mdomo wazi.
Mdada fulani tipwatipwa amevaa kasketi kafupi mamiguu yamejaa makunyanzi wakati anapenda kwenye kameza camera zinamchora
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdada fulani tipwatipwa amevaa kasketi kafupi mamiguu yamejaa makunyanzi wakati anapenda kwenye kameza camera zinamchora
Njoo Tanzania ujionee super brands yenye vichwa kama George Malatu, Simon Kabendela na somebody Mutiganzi ila pia usiondoke hujajionea msoma taarifa ya habari anasoma muhtasari akiwa chini halafu anakimbia kwa juu anajikunja kwenye ka angle flani ndo anaendelea na taarifa na usiombe ukute mtangazaji ni mojawapo kati ya wale wadada wenye maumbo kama uyoga
Sent using Jamii Forums mobile app