Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Hivi hawapo humu tuwatag.
Mmoja ni Adrian Stepp ila huyu dogo yupo real sana.
Mmoja ni Adrian Stepp ila huyu dogo yupo real sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeeeh, ku-sema uuukweliiii, hivyo-ndivyo sauti yanguu iili-vyo. Fake fake fakeMimi ndio maana huwa siwasikilizi.
Alafu kila mtu anasema ndio sauti yake.
Nimetoka kusikiliza habari kwa bahati mbaya kutoka Morning Star Radio ama hakika wewe mtangazaji uliyesoma habari leo Tarehe 14.04.2020 saa 20:00 ni tatizo kubwa sana.
Nani ana mawasiliano na kiongozi yeyote wa Morning Star Media?
Hakuna kitu.....anamwiga Abubakary Lyingo...Kitenge
Mkuu ngoja nikuchekeshe, juzi RPC wa katavi akiwa anatoa taarifa za uhalifu nae si akaanza kutumia sauti fake! Yaani hapo ndio nikaona hii nchi tumeharibikiwa.Wajirekebishe
Usiwalaumu Sana ni "diet" tu. Imagine, wali au ugali maharage mchana, chips mayai usiku, mayai ya kuchemsha na karanga kama snacks.Yaani kuna kitu kinanikera mno kuangalia stesheni nyingi za TV Tanzania. Ni kwamba watangazaji wengi sana wa TV, wanawake kwa wanaume, wanapofanya matangazo wanakuwa wamengangamala utafikiri wanaishi kwa kula cement. Unakuta mwili umejikaza hawako natural kabisa, wako very conscious kwamba wanaangaliwa.
Halafu kitu kingine kinaniudhi sana ni karibu Watangazaji 95% wa TV na Radio Tanzania wanabadilisha sauti zao. Na wengi wanaongea kwa kusita sita (kwa pause) wakifikiri ndio inapendezesha kutangaza. Kwa nini lakini? Kwa mfano kuna dada mmoja anatabiri hali ya hewa TVT huwa nikimwona tu nabadilisha channel, ananiudhi mno kujibadilisha sauti na kujifanya anaongea kwa pause.
Kuna wakati Mtangazaji nguli Tanzania, Charles Hilary, alisema wanaongea "kizunguzungu" dada mmoja alipozidisha mno kuongea kwa pause. Charles alimuuliza kama alikuwa ameishi nje ya Tanzania muda mrefu kutokana na lafidhi yake, na huyu dada akasema hapana, ni mazoezi tu. Ndipo Charles akashangaa kwamba ni mazoezi ya kuongea kizunguzungu?
Kwa nini msiwe natural katika kukaa na kuongea? Hivi hakuna mafunzo mnapewa? KUna wengine wanadhani wakiongelea puani ndio Kiswahili chao kinaonekana cha kisomi, ovyo kabisa. Nani aliwaambia kubadili sauti zenu hizo na kuongea kwa pause kunapendezesha utangazaji? Mnakera mno na mnaharibu lafidhi ya Kiswahili. Acheni ulimbukeni. Hamuoni CNN, BBC Skynews wanavyoongea? U-artificial wa nini kwenye sauti zenu? Nani aliwaambia mkiongea naturally hampendezeshi matangazo?
Hapo Faiza unawatetetea tu. I know a fake voice when I hear one - mimi ni Mtanzania. Unajua hili suala la kutumia sauti fake au kuongea kwa pose hata mitaani limeanza kuingia, ni kama kuna namna ya kutafuta "accent" mpya ya Kiswahili. Wanaongoza ni watangazaji, then wanakuja wasanii, halafu ukiingia mitaani kuna hawa vijana wa kileo.Usiwalaumu Sana ni "diet" tu. Imagine, wali au ugali maharage mchana, chips mayai usiku, mayai ya kuchemsha na karanga kama snacks.
Moja katika mafunzo ya utangazaji ni kukumbushwa mara kwa mara kutokujamba mtangazaji unaposhika au kuwa karibu na"mic".
Sasa imagine Kwa diet yetu si lazima wajibane kujamba, ndipo unapoona wanakakamaa. Usijali.
Wote hao, iwe watangazaji au wasanii ni show business, Kwa hiyo lazima wawe na signatures zao wakati wa kazi zao, lazima wawe tofauti na nje ya kazi.Hapo Faiza unawatetetea tu. I know a fake voice when I hear one - mimi ni Mtanzania. Unajua hili suala la kutumia sauti fake au kuongea kwa pose hata mitaani limeanza kuingia, ni kama kuna namna ya kutafuta "accent" mpya ya Kiswahili. Wanaongoza ni watangazaji, then wanakuja wasanii, halafu ukiingia mitaani kuna hawa vijana wa kileo.
Na utakuta wakiwa nyumbani wanaongea vizuri tu na wazazi wao nk. Lakini ngoja ukutane nao sehemu sehemu.
I get you kwenye kula cement. Lakini kwenye signature ya sauti bado. Kuna comments kwenye hii thread zinasema kwamba matokeo ni kwamba sasa watangazaji karibu wote sauti zinafanana kwa kuwa wote wana namna moja ya kuongea kwa ma-pose.Wote hao, iwe watangazaji au wasanii ni show business, Kwa hiyo lazima wawe na signatures zao wakati wa kazi zao, lazima wawe tofauti na nje ya kazi.
Mimi naongelea pale wanapokuwa kama "cement".
Yaani kama mimi vile.ngoja leo niwaskize nitakuja na mrejesho jioniWale jamaa walikuwa wanajua sana kazi wakiwa pamoja walikuwa wanafanya nasikiliza kipindi chao kila muda.
Nilisikitika sana baada ya David kuondoka sijui maendeleo ya kipindi kile kwa sasa.
Well, kwenye kila fani usitegemee kuwa kila mmoja ataibuka kuwa "star". Watatoka ma star kidogo sana na waliobaki ndio hivyo tena, hiyo ni kawaida katika kila nyanja.I get you kwenye kula cement. Lakini kwenye signature ya sauti bado. Kuna comments kwenye hii thread zinasema kwamba matokeo ni kwamba sasa watangazaji karibu wote sauti zinafanana kwa kuwa wote wana namna moja ya kuongea kwa ma-pose.
Sidhani kama you need to fake it ili kuwa na signature - kuna watu wa enzi hizo kama KIna David Wakati, Ahmedi Kipozi, Masoud Masoud, Julius Nyaisanga, Charles Hilary, Dominic Chilambo, Mikidad Mahamoud, Susanne Lukindo, Debora Mwenda hata ndugu yetu Pascal Mayalla, wote walikuwa na signature in their naturalness na hatukuona kuwa wanafanana kuongea kwa ma-pose na sauti artificial.
Watu kama kina Richard Quest, wana signature in their naturalness.
Hapo zamani mtu ambaye alizidi alikuwa Ben Kiko (Benedict Kikoroma) wa Dodoma. Lakini huyu nae alikuwa ni exception.
Haya ni maneno ya busara sana unayasema, ila unaya address kwa wrong person. Nadhani wao kuongea kwa pose na sauti artificial ni katika kutafuta kuwa star, na wanaishia kuzidisha viungo na kuonekana fake sana. Labda wanapaswa kutambua kwamba katika fani yao huwezi kulazimisha, na hao wachache niliowataja they were just naturally talented katika hii fani. Hivyo wakubali kwamba if they got it then they got it, na kama they dont have it they simply dont have it. Hakuna kiasi cha kuongea kwa sauti artificial na ma-pose kutawafanya wawe kina David Wakati au Richard Quest.Labda wajaribu fani nyingine, sio lazima wawe watangazaji.Well, kwenye kila fani usitegemee kuwa kila mmoja ataibuka kuwa "star". Watatoka ma star kidogo sana na waliobaki ndio hivyo tena, hiyo ni kawaida katika kila nyanja.
Tusitegemee kila mtangazaji awe nyota, wengine lazima watakuwa wasindikizaji. Hiyo ni popote duniani na kwenye fani zote.
Kutegemea wafanyabiashara na wajasiriamali wote kuwa Bakhresa au Mo au Mengi ni kujiumiza kichwa.
hivi huyu siku hizi kapotelea wapi?? Naona ITV wana ripota mwingine wa huko Mara..Cc George Marato
Wewe pia umezidi gubu! mtoto wa kiume wivu wa kike na uchoyo wa umimi tu! sasa hao watangazaji wajikatae? natural yake umeijua vipi wakati humjui? kwa sababu ni warembo au!Wewe utakuwa una dada yako anaongea hivyo na unadhani ni ujiko wa kupata shemeji mwenye gari uwe unaendesha
Dunia inabadilika na vigezo vinabadilika. Mwengine wewe unaona anajifanyisha kumbe ndivyo alivyo. Pia kuna wanaojidanganya, no doubt, kwani kama tujuavyo, uongo ukisemwa sana huwa ukweli.Haya ni maneno ya busara sana unayasema, ila unaya address kwa wrong person. Nadhani wao kuongea kwa pose na sauti artificial ni katika kutafuta kuwa star, na wanaishia kuzidisha viungo na kuonekana fake sana. Labda wanapaswa kutambua kwamba katika fani yao huwezi kulazimisha, na hao wachache niliowataja they were just naturally talented katika hii fani. Hivyo wakubali kwamba if they got it then they got it, na kama they dont have it they simply dont have it. Hakuna kiasi cha kuongea kwa sauti artificial na ma-pose kutawafanya wawe kina David Wakati au Richard Quest.Labda wajaribu fani nyingine, sio lazima wawe watangazaji.
Naomba tu umuweke wazi ni wa kiteng.........Utangazaji ni kurelax siyo unatoa meno machafu mbele ya mic huku shingo ikitoa mishipa kama miguu ya mbung'o.
Mfano yule anayetangaza magazeti kwa mbwembwe huku akiongea kama anafokeana na mpwa wake.
Of course ni rahisi kuwajua watangazaji wa aina hiyo humu JF - na wewe ni mmoja wapo au una ndugu yako. Kwa hiyo sitegemei ukaunga mkono thread. Naturally. Lakini najua ujumbe umefika.Wewe pia umezidi gubu! mtoto wa kiume wivu wa kike na uchoyo wa umimi tu! sasa hao watangazaji wajikatae? natural yake umeijua vipi wakati humjui? kwa sababu ni warembo au!
Kiswahili siyo mali binafsi! Lugha yeyote inakua, na inakufa, kifupi ina uhai! unataka aongee km Wakurya wa Kiribo Kwenu? jifunze kuishi na watu wenye tabia, na mitizamo tofauti, unasikia?,
TV presenter, hampendezeshei kila Mtu, wengine hupenda, wengine hukereka km wewe umekereka piga kimya,funga ki-TV mawazo, au pasua kabisa, na ujifunze kumeza udhaifu wa wenzako!
Bila aibu mweusi pyuu! unaona vyema aige vya Uzunguni, eti CNN, ndiyo bora! baba sisi kivyetu, wao ndo watuige! ukitaka CNN kaishi huko US,ufaidi,tuachie watu wetu. Diaspora si wapo wengi tu wengine wana badili mikuyenge wanazalishwa?!! nenda huna hela?.
Haya wewe aliye kwambia kuandika hapa hivi utatupendezesha ni nani? umewaudhi wengi ikiwa ni pamoja na huyo unaye mkashifu aendeshe gari la shemeji yake! unachukia mtu usiye mjua? familia, unayo lala nayo na kushinda nayo itakuwa salama?
Nani alikwambia kuendesha gari ni ujiko na traffic woote hao, mara ugonge, mara machokodo Barabarani, fine, mara tochi bado weye na umaskini wako unaona ni ujiko hujawahi miliki Gari nini? wanavijiji mnasumbua sana Mjini, rudini hukohuko mliko toka!