Mkwawe JF-Expert Member Joined Jun 10, 2016 Posts 3,132 Reaction score 5,508 May 12, 2019 #221 RRONDO said: Boss nimegundua watu wana uelewa mdogo sana. Kuna mpumbavu mwingine eti kafungua thread kujibu nilichoandika. Click to expand... Duuh nisamehe mzee kwa kujaribu kutoa changamoto tu sikutegemea ungejazibika hivi na kunitusi Samahani sana kama nimekuudhi kwa mimi kufungua uzi ule
RRONDO said: Boss nimegundua watu wana uelewa mdogo sana. Kuna mpumbavu mwingine eti kafungua thread kujibu nilichoandika. Click to expand... Duuh nisamehe mzee kwa kujaribu kutoa changamoto tu sikutegemea ungejazibika hivi na kunitusi Samahani sana kama nimekuudhi kwa mimi kufungua uzi ule
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 May 13, 2019 #222 Hebu msikilize HUYU MTANGAZAJI na hasa katika dakika ya 4:50 hadi 6:10 na kama ukiweza ifuatilie video nzima
Hebu msikilize HUYU MTANGAZAJI na hasa katika dakika ya 4:50 hadi 6:10 na kama ukiweza ifuatilie video nzima
PANTHERA LEO JF-Expert Member Joined Jan 25, 2019 Posts 2,307 Reaction score 3,437 May 13, 2019 #223 marxlups said: Hebu msikilize HUYU MTANGAZAJI na hasa katika dakika ya 4:50 hadi 6:10 na kama ukiweza ifuatilie video nzima Click to expand... Hahaha duh bora mimi
marxlups said: Hebu msikilize HUYU MTANGAZAJI na hasa katika dakika ya 4:50 hadi 6:10 na kama ukiweza ifuatilie video nzima Click to expand... Hahaha duh bora mimi
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 May 13, 2019 #224 PANTHERA LEO said: Hahaha duh bora mimi Click to expand... Ameharibu kabisa maana ya ufikishaji wa habari
PANTHERA LEO said: Hahaha duh bora mimi Click to expand... Ameharibu kabisa maana ya ufikishaji wa habari