Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Mkuu nisaidie utamkaji wa jina la beki kisiki wa Bayern Munich Matts Hummels. Hilo jina la pili huku kwetu kila mtu anatamka kivyakeMajina mengine unajifunza kwa kusikiliza wenye majina yao. Mfano Hughes inatamkwa Hyuz sasa utasikia mtangazaji anatamka hugiz/hagiz/hagez
Wafundisheni na hao Wazungu kutamka vizuri majina yetu ya Kibantu..
Unaweza kujifunza kwa kusikia wenye hayo majina wanatamkaje, mfano Thierry Henry hata pale England hawatamki Kiingereza kama King Henry bali wanatamka Kifaransa kwasababu mwenye jina ni Mfaransa kawaambia linatamkwa HonriiSasa kama iliishia form 4 ya div 4 unatagemea huyo ndugu yako atatamkaje hayo maneno na hata kujua vichache tu kuhusu hayo mambo anayoyatangaza??
Chuo chenyewe kasoma Ilala Bungoni au Eagle kwa miezi 6 sasa kuna kipya unakitarajia hapo??
Jana nimemsikia mmoja ktk kipind cha michezo akidai Tottenham wamekiwakisha katika jiji la Ajax walipocheza na Ajax, nikajiuliza anataka kusema walicheza kule Canada ambako katika jiji la Ontario kuna town inaitwa Ajax?
Wazungu wanajitahidi kujifunza, ingawa kuna maneno huwa yanawashisha mfano Mwamba utawasikia wanajikakamua MawambaHayo maneno ya maeneo ya ulaya na ugaibuni sio issue sana kwana hata wazungu wenyewe wakija kwetu maeneo yetu yanawashinda kutamka kinachoniudhi ni wale wanaoshindwa kutofautisha kati ya herufi L na R kwenye magari mathalani atatamka magali
Hunishindi mimi, nakwazika mno!Unakuta mtangazaji Kwa kujiamini kabisa anatamka BALE(Kiswahili) badala ya beil. Au Lesesta(Leicester) badala ya kusema leista.
Leo nimemsikia mtangazaji gwiji wa michezo anatamka Brighton HoVE Kiswahili hove. Hii timu inaitwa Brighton & Hove(inatamkwa hov(u). Hii timu ipo mji unaitwa Brighton and Hove City mji uliopatikana Kwa kuunganisha mji wa Brighton na Hove.
Hata hapo Nairobi wamasai halisia walikuwa wanapaita Nairobai. Kwa mwingereza ai ndio anavyotamka i. Ikawa Nairobi. Kwa huko Scandinavia wanatamka London kama inavyoandikwa ila mwingereza yeye anatamka Landan, kwa mfano.Usishangae mkuu hata hao wenye majina hayo walikuja kwetu enzi hizo walishindwa kutamka majina ya maeneo yetu wakaharibu mpaka leo tunataja majina ambayo siyo asili yetu.
Mfano, Tabora, Njombe, Iringa, kwenye mito wameharibu na milima pia.
MonchengradbachIla kuna majina magumu jamani kama ya timu za Germany hapana.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Sasa si bora ya germany kuliko ya poland au turkeyIla kuna majina magumu jamani kama ya timu za Germany hapana.