Watani badilikeni,hamjajifunza tu?

eddy brown

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
414
Reaction score
314
Simba kusajili wachezaji 13 hivi ni pendekezo la kocha au kama kawaida yenu kuingilia majukumu ya kocha.Sidhani kama kuna kocha duniani anaweza kusajili timu nzima wakati katoka kuchukua kikombe(FA) Kocha mwenye weledi ya kazi yake asinge kubali kwani anaanza upya na akikosa matarajio ya klabu wanamfukuza.Hivi mtajifunza lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yangu mmesajili wangapi???
 
Kwani hela za usajili huwa tunakuja kuomba mtaa wa pili au ni zetu.
 
Panya anamshaur mwenye nyumba pa kuficha mikate yake!!

Arage Jekundu.
 
Unataka kupewa na wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Siafu alifuatana na tembo kuvuka daraja la mbao. Lile daraja likawa linatikisika mno kwa uzito uliokuwa ukipita juu yake. Walipomaliza kuvuka, siafu akaanza kujisifia, 'laiti tungechelewa kidogo tu kuvuka tungekakatilia mbali kale kwa daraja'! Kumbe yeye ndiye kasiafu!
 
Pole mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ac Milani imesajiri wachezaji wengi sana tena zaidi ya 10. Wiki iliopita niliona Ac Milan wamesajiri wachezaji 11 na bado wapo mawindoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ac Milan wamesajili wangapi na bado wanaendelea kusajili
Ac Milan wamesajili wachezaji 10 na bado wanaendelea kusajili. Lakini usajili wa Ac Milan ni kutokana na mahitaji ya kocha, mwenye thread hakuwa na tatizo juu ya usajili wa wachezaji wengi bali wasiwasi wake ni je hao wachezaji wamependekezwa na kocha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakuuma nini wewe? Acha tusajili hata timu yote!
 
achen wivu wa kimavi cz mwaka huu humna pesa ndo mnaionea donge simba
 
achen wivu wa kimavi cz mwaka huu humna pesa ndo mnaionea donge simba
Kwakweli watanzania tunasafari ndefu Sana kisoka kwa akili za usimba na uyanga. Yaani mtu aki challenge kitu kwa upande wa yanga ataonekana mshabiki wa simba huyo. hivyo hivyo mtu aki challenge kitu upande wa simba ataonekana haitakii mema simba. Endeleeni na mpira wenu wa kiini macho, huo usimba na uyanga wenu kama utatupatia mafanikio Tanzania kimataifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…