eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 314
Simba kusajili wachezaji 13 hivi ni pendekezo la kocha au kama kawaida yenu kuingilia majukumu ya kocha.Sidhani kama kuna kocha duniani anaweza kusajili timu nzima wakati katoka kuchukua kikombe(FA) Kocha mwenye weledi ya kazi yake asinge kubali kwani anaanza upya na akikosa matarajio ya klabu wanamfukuza.Hivi mtajifunza lini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app