Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
Mbona nawe upo kwenye usimba na uyanga au hujioniKwakweli watanzania tunasafari ndefu Sana kisoka kwa akili za usimba na uyanga. Yaani mtu aki challenge kitu kwa upande wa yanga ataonekana mshabiki wa simba huyo. hivyo hivyo mtu aki challenge kitu upande wa simba ataonekana haitakii mema simba. Endeleeni na mpira wenu wa kiini macho, huo usimba na uyanga wenu kama utatupatia mafanikio Tanzania kimataifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nongeweza kukutoa kwenye mshabiki endapo tu ungeweza kuchambua madhaifu ya timu zote mbili simba na yanga then uje kitaifa na ulinganishe na nje
Simba kusajili wachezaji 13 hivi ni pendekezo la kocha au kama kawaida yenu kuingilia majukumu ya kocha.Sidhani kama kuna kocha duniani anaweza kusajili timu nzima wakati katoka kuchukua kikombe(FA) Kocha mwenye weledi ya kazi yake asinge kubali kwani anaanza upya na akikosa matarajio ya klabu wanamfukuza.Hivi mtajifunza lini?
Sent using Jamii Forums mobile app