Watani badilikeni,hamjajifunza tu?

Watani badilikeni,hamjajifunza tu?

48f21b97ee7ab8ed6bcc37a1d34db4cc.jpg
hawa wakina nani cheki Tambwe anavyotia huruma
 
Kwakweli watanzania tunasafari ndefu Sana kisoka kwa akili za usimba na uyanga. Yaani mtu aki challenge kitu kwa upande wa yanga ataonekana mshabiki wa simba huyo. hivyo hivyo mtu aki challenge kitu upande wa simba ataonekana haitakii mema simba. Endeleeni na mpira wenu wa kiini macho, huo usimba na uyanga wenu kama utatupatia mafanikio Tanzania kimataifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona nawe upo kwenye usimba na uyanga au hujioni
 
Nongeweza kukutoa kwenye mshabiki endapo tu ungeweza kuchambua madhaifu ya timu zote mbili simba na yanga then uje kitaifa na ulinganishe na nje

Wewe ni shabiki tena ulie na usimba na uyanga unajitahidi kujitoa ili hali upo ndani ya shimo kama wengine
 
Mleta mada kauliza mnasajili kulingana na ripoti au mahitaji ya kocha au ni mihemko tu ya kumkomoa mtani? Jibu kulingana na ulivyo ulizwa siyo unatoa povu. Cheeeeh!!
 
Simba kusajili wachezaji 13 hivi ni pendekezo la kocha au kama kawaida yenu kuingilia majukumu ya kocha.Sidhani kama kuna kocha duniani anaweza kusajili timu nzima wakati katoka kuchukua kikombe(FA) Kocha mwenye weledi ya kazi yake asinge kubali kwani anaanza upya na akikosa matarajio ya klabu wanamfukuza.Hivi mtajifunza lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
881c68cddd68e3ba84dac134474163c9.jpg
 
Back
Top Bottom