Watani mnajisikiaje ombaomba kukupita alama 5?

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Mambo vipi Mikia na washkaji zangu wa Jangwani. Ujue kuna ukimya mmoja ambao siuelewi elewi.

Vinaongelewa vingi sana kuhusu CAF kana kwamba wataenda kutwaa ndoo ya CAF hivi karibuni ili hali Dk Magu amewaambia hawana uwezo huo.

Ila jambo la msingi sana kwenye soka la Bongo hivi sasa ni kiu ya wanajangwani kutaka kujua ni namna gani Mikia wanajisikia baada ya Mabingwa wa Kihistoria wa Ligi hii aka Ombaomba, aka Bakuli kubwa, aka niongezee pesa, aka Changia changia wakiwa mbele kwa zaidi ya alama 5 (pasi na kuzingatia viporo vyao)

Je, mnajisikiaje vile walemavu wamewapiga gape la namna hilo iliwa wanacheza wakiwa na Njaa, Kiu na mawazo ya kutopata mishahara?

Kuweni wawazi aisee! Maana hii ni aibu ambayo wengi wenu hampendi ijadiliwe hadharani..Huwa mnajificha kwenye kivuli cha mechi za CAF.

Je, mnajua kuwa mara Ukimwachia Yanga SC gape la alama 7 huwa anakuwa Bingwa wa Ligi? Kama hamjui tunaomba mliweke akilini hilo.

Najua mtaipotezea hii mada lakini tutaizungumza vyema baada ya kumalizana na masela wake wapya wa Hassan Kessy kutoka kusini.

Gracious!!
 
Ntasikitika kama omba omba akichukua Ubingwa sio eti kunizidi point tano, ligi bado mbiichi kabisa.
Ili uwe juu ya Msimamo inabidi Yanga afungwe mechi moja na atoe sare mechi mbili.na wakati huo huo unatakiwa usitoe sare hata mechi moja.

Deep down in your heart nina imani kuwa huwezi amini kama hili litatokea..

Ila utaenenda kunyume na nafsi yako kwa kuliamini hilo.
 

Mkuu mi sio shabiki maandazi, kwa akili yako unaona basi Yanga mtamaliza ligi mkiwa mabingwa au wa pili kisa point tano hizo.
 
Reactions: Tui
Mkuu mi sio shabiki maandazi, kwa akili yako unaona basi Yanga mtamaliza ligi mkiwa mabingwa au wa pili kisa point tano hizo.
Sio kwa akili yangu tu...Historia inasema hivyo.

Hujawahi kubwa Bingwa mara Yanga akupigapo gape la alama 5.
 
mwinyi Zahera alisema point Tano si chochote mimi yanga ligi bado sana kikubwa vijana wetu wapambane
Psychological comment.

But reality remains the same.
 
Wachezaji wenyewe magari ya mkaa tripu moja sevis
Jiulize nani ana historia ya kuwa na wachezaji wa barafu...?

Okwi amekuwaje...?

Mo amekuwaje...?

Kichuya mbona asikiki tena..?

Mzamiru naye vipi..si mlisema ninwakucheza south yule...?

Wote hao wamekuwa cement ya ziada..

Sasa hivj mmehamia kwa Chama...naye mda si mrefu story itaisha.
 
Ndio Hawa mzunguko wa pili ukianza wanakimbia post zao
Waulize wenzako wazoefu wa hili Jukwaa..

Wakana nani wanaongoza kuwa katika Mazingira korofi nyakati fulani....?

Watakupa jawabu.
 
Ligi bado san..acha uchura wako
Mara zote tumebeba ndoo kwenye Ligi ya maimu husika...Game zetu za 20 za kwanza ndizo ziliamua ubingwa.

Najua unakumbuka zile alama 8 zenu tulivyo zipukutua mpaka tukabeba ndoo.

Yanga ni klabu pekee yenye uwezo wa kuwa consistannce katika mazingira yeyote yale hence vikombe zaidi ya 27 vya LigiKuu tu.
 
Namuheshimu sana Mzee Rage aliyewaita mbumbumbu...msimu uliopita alisema Yanga wamelikosa kombe sio sababu ya njaa..Ila majeruhi..Tambwe,Ngoma,Kamusoko ..maana Tambwe na Ngoma wanauwezo wa kufunga double digits
 
Mazuzu wawili wanakubaliana. Mind game ndio nini?Jifunzeni kiingereza.
 
Mazuzu wawili wanakubaliana. Mind game ndio nini?Jifunzeni kiingereza.
Ni kwa walienda shule tu. Mashabiki wasomi. Wasio mbumbumbu.
 
Tunenda kuwapga nkana kwao moja na wakija hapa dar tunawapga kimoje tena,then tunaingua kwenye makundi LA kila bingwa Africa.
 
Mazuzu wawili wanakubaliana. Mind game ndio nini?Jifunzeni kiingereza.
mindgame
An extremely unsuspected or well-planned out trick that others do not know is upon them until it is too late .
So, he was just pretending to be stupid to lead this guy into a trap? What a mindgame!
#mindgame #trick #mindgamed #. Zuzu Mzazi wako Wa kike tena siyo Wa kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…