demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Mambo vipi Mikia na washkaji zangu wa Jangwani. Ujue kuna ukimya mmoja ambao siuelewi elewi.
Vinaongelewa vingi sana kuhusu CAF kana kwamba wataenda kutwaa ndoo ya CAF hivi karibuni ili hali Dk Magu amewaambia hawana uwezo huo.
Ila jambo la msingi sana kwenye soka la Bongo hivi sasa ni kiu ya wanajangwani kutaka kujua ni namna gani Mikia wanajisikia baada ya Mabingwa wa Kihistoria wa Ligi hii aka Ombaomba, aka Bakuli kubwa, aka niongezee pesa, aka Changia changia wakiwa mbele kwa zaidi ya alama 5 (pasi na kuzingatia viporo vyao)
Je, mnajisikiaje vile walemavu wamewapiga gape la namna hilo iliwa wanacheza wakiwa na Njaa, Kiu na mawazo ya kutopata mishahara?
Kuweni wawazi aisee! Maana hii ni aibu ambayo wengi wenu hampendi ijadiliwe hadharani..Huwa mnajificha kwenye kivuli cha mechi za CAF.
Je, mnajua kuwa mara Ukimwachia Yanga SC gape la alama 7 huwa anakuwa Bingwa wa Ligi? Kama hamjui tunaomba mliweke akilini hilo.
Najua mtaipotezea hii mada lakini tutaizungumza vyema baada ya kumalizana na masela wake wapya wa Hassan Kessy kutoka kusini.
Gracious!!