Watani wa jadi: Dar es Salaam Vs Mikoani

Watani wa jadi: Dar es Salaam Vs Mikoani

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,846
Tanzania kuna majiji mengi ikiwemo Dar Es Salaam kinara wao.
Jinsi.

Ukiachana na Dar sehemu mahali kwingine huitwa Mikoani
Mfano: Tabora, Shinyanga, Singida, Mara.

Hapa kuna utani juu ya maisha ya watu wa sehemu hizi katika nyanja tofauti tofauti.

Zikiwemo za kisiasa,kiuchumi na kijamii.

Watani wa Jadi niambieni sasa?
 
Kinara wa majengo marefu halafu matumboni mmejaza minyoo ya njaa!

Karibuni usukumani tuendelee kule maviazi vitamu miugali na miwali ya kumwaga
 
Kitu ambayo huwa siielewi hadi kesho, ni inakuaje MTU unapigwa hela unaachiwa vichupachupa kwamba ni madini na wakati unakotoka kuna madini? halafu unaanza kulialia kama Toto LA chekechea!! Halafu jambo hili hujirudia kizazi na kizazi
 
Isitoshe hata mikoani ndo tuna ma cute ambao hawanaga make up Ila wanapendeza kinoma[emoji23]
Natural beauty
 
Back
Top Bottom