Tayukwa
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 2,178
- 4,410
Habari zenu wanakabumbu
Hapa tufanye ndio sehemu sahihi ya kufurahia tamu za utani na kuuvumilia machungu ya timu hizi mbili nchini kupitia utani huo.
Hizi ndio timu kongwe nchini zenye mashabiki wengi kuliko timu nyingine za humu ndani.
Tetea timu yako kwa mazuri yake.
Pondea timu ya jirani yako kwa madhaifu yake.
Hivi ilikuwaje jina la Zuwenaiende kwa simba na hali ya kuwa Kisinda yupo Yanga?
Mjadala wowote unaoanzishwa na manara wa Yanga ukiletewa majibu na Manara wa simba hivi wanayanga wanajisikiaje?
Ilikuwaje kuwaje Kibu D kuwekwa level moja na Mayele?
Shadeeya OKW BOBAN SUNZU
Karibuni tufurahi