Umeikusudia Fainali ya nini mkuuWANANCHIIIIIIIIIIOOOOOOOOO. LEO NDIO ILE SIKU AMBAYO WANAYANGA WOTE TUNA BANG NAYO .
YAANI MAKOLO LEO NDIO RASMI WANAGEUZA VYOO MAHALA PAO PA KULILIA.
TUNAENDA KUTINGA FAINALI RASMI KWENYE ARDHI YA UGENINI.
MARK MY WORDS
Kombe la looserWANANCHIIIIIIIIIIOOOOOOOOO. LEO NDIO ILE SIKU AMBAYO WANAYANGA WOTE TUNA BANG NAYO .
YAANI MAKOLO LEO NDIO RASMI WANAGEUZA VYOO MAHALA PAO PA KULILIA.
TUNAENDA KUTINGA FAINALI RASMI KWENYE ARDHI YA UGENINI.
MARK MY WORDS
UTAJUA WEWEKombe la looser
UTAELEWA TUUmeikusudia Fainali ya nini mkuu
Kwaza la shirikisho hayo mengine hatutumii nguvu kuchukuaLipi hilo
Sawa brotherLinaitwa kombe la looser Brother
Hapo ndo ulipoharibia uzi wako..!! Haya Mliroga kule SAUZI nje ya nchi kwenye hili hili mnaloliita la looser na hamkulipata..!! Leo hamna kombe lolote kama Dodoma jiji tu..!!Kombe la looser
Ungenukuu yale ya nyie kuku..!!Nimenukuu maneno ya jamaa yako manara
Sasa leo tunatinga fainali, nyie bakini tu na maneno yenu ya LUZA na huku hamna kombe lolote, hata la ndondo cup..!!Hayakuwa na umuhimu hivyo tumewaachia ninyi Utopwizo