Watani zangu tumewafunga, lakini moja nawasifu...! Hongera Simba.

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,056
Reaction score
10,721
Kweli Simba wana mioyo jasiri na ndio maana huwa mnatusumbua.

Lkn Kufungwa au kufunga ndio mchezo.

Ila nimeipenda style ya kushangilia kwenu ya kuzungusha mikono, Ya UKAWA!

Wanajangwani walikuwa na mioyo na mioyo ya kusitasita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…