B BEHOLD JF-Expert Member Joined Nov 17, 2013 Posts 5,056 Reaction score 10,721 Sep 26, 2015 #1 Kweli Simba wana mioyo jasiri na ndio maana huwa mnatusumbua. Lkn Kufungwa au kufunga ndio mchezo. Ila nimeipenda style ya kushangilia kwenu ya kuzungusha mikono, Ya UKAWA! Wanajangwani walikuwa na mioyo na mioyo ya kusitasita.
Kweli Simba wana mioyo jasiri na ndio maana huwa mnatusumbua. Lkn Kufungwa au kufunga ndio mchezo. Ila nimeipenda style ya kushangilia kwenu ya kuzungusha mikono, Ya UKAWA! Wanajangwani walikuwa na mioyo na mioyo ya kusitasita.
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,258 Sep 27, 2015 #2 toroka uje mkuu