Watani zangu Wahaya leo Mtani wenu Mzanaki nawachana 'Live' ili mbadilike kwani tumeshawachoka

Kuwa
Ni Mpumbavu tu pekee na Mgeni wa GENTAMYCINE hajui kuwa nina Utani wa Wahaya halafu Nawapenda Wahaya na Wahaya hao hao wameshawahi kuwa ni Mabosi zangu na Nimeshasaidiwa nao mno na Kuwashukuru huku nikiwaombea kwa Mwenyezi Mungu thawabu nyingi.
Kuwa Rafiki na mtu , haikupi uhalali wa kumtukana kiaina, kama walikuwa maboss zako hivyo Kuna kisasi unarusha kwao?
Can you imagine mtu
 
Haya maswali watajibu diasphora wa Kihaya wakiamka maana kure kwao sasa hivi ni usiku wa manane. Umenierewa!
Wakora waitu!
 
Sioni Sababu ya kukutukana na nikikutuna mm Nitakupa hayo matukano kwa mafumbo na staha Ila yatakuchosha.
Siku moja Yesu aliwaambia ...Kwambiaeni yule mbweha...mbweha Erodi.
Aliwaambia Niko Hapa yapata Leo kesho.....hivyo hakutoa matusi!
Na mm pia stukani mtu.
 
Hiv hao wahaya mnaowasema kila siku...mnawatukana kila siku humu kwenye mitandao walishawahi kuwaomba msaada? Mnawalisha?...vip mnawasaidia kusomesha watoto wao?

Yaan from nowhere mtu anaamka anaanza kusema wahaya...matusi ya nguo..kuwasema mama zetu na dada zetu wa kihaya...


Watu mnashindwa kupambana na Hali zenu za maisha..mko mnashambulia na kutukana makabila ya watu...


Juzi kuna rafiki yangu mmoja anaitwa Rutta..kaenda kuomba kazi mahali...kaambiwa nenda kabila lako likuajiri kisa mhaya..halafu utayasikia humu yanasema wazungu mabaguzi sijui wahindi kumbe yao ndo roho nyeusi
 
Mbona unakuwa mkali sana, mambo mengine usichukulie serious sana, mbona na wewe umekuja na ID mpya, njoo na yako ya zaman ili mpeane makavu live, sisi wasukuma tunataniwa sana humu lakini tunavumilia wewe kidogo adi kutishiana kuvuana nguo hadhari me sijapenda.
 
Umesahau vita vya Idd Amin
 
Haya watu wa mara kachoteni maji mto mara, mbebe kwa vichwa vyenu hadi kagera ili abakazi na bashaija waoge waondoe mikosi halafu mkikosa nauli ya kurudi kwenu mtamuomba pesa mtani wenu mwigulu ili awawwezeshe mfike mkoani kwenu mara,
 
Chonka kasigazi haka kataina magezi😁 Watu wa Mara hamna akili kila kitu ni nguvu bila kutumia akili, mtu kukurarua na panga ni kugusa ndio mana tuwapa kazi ngumu za kulinda nchi mkizubaa tu shaba ziwatandike. Genta ni mtu wa utani na ni mtani wenu msipanic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…