Mimi nafikiri aliyosema Yana ukweli. Tujibu hoja ya msingi. Haya uliyotaja ni kweli ila ni matokeo ya kusoma sana na kuendelea sana. Ni ushahidi kuwa Kagera ni wasomi sana, na hizo ni ajali za kisayansi. Wanasafiri sana ndiyo maana ajali za ndege na meli
Jiulize kwa nini hazitokei musoma? Wahaya ni wafanya biashara na watembezi, ndiyo mkoa unaopakana na nchi nyingi. Kuna muingiliano mkubwa. Kwa hiyo majanga ya Kila nchi lazima tuyagawane (umesahau na kuhost wakimbizi wa Uganda, Rwanda,, Burundi, Kongo) bukoba ni mkoa uliobarikiwa una milima ya volcano, ndiyo mkoa unaolima mazao ya Kila aina, kahawa, ndizi, mahindi, maharage. Kupigwa tetemeko ni hoja ya kijiografia.
Ila just huwezi kukuta michezo michafu kama kukeketa wa wanawake, kukatana mapanga, nyumba mtovu.
Jamii forum unayotumia imetengenezwa na mhaya
Niishie hapo nadhani dose inatosha